Matukio ya kihalifu yameanza kurejea tena kwenye baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa leo nitazungumzia yanayoendelea Kimara Korogwe, njia ya kuelekea KAM College kupitia mji mpya.
Ndani ya mwezi mmoja kuna watu wawili wamekatwa mapanga na vibaka wanaotumia bodaboda. Matukio haya yote...