Guterres asema shambulizi la jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon linaweza kuwa uhalifu wa vita.
Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres tarehe 13 Oktoba alitoa taarifa kuhusu kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon, akiweka bayana msimamo kuwa...