Ndugu hao walimdanganya Jordan kwa kujifanya Msichana wa umri wake kupitia Instagram na kumshawishi atume picha za faragha. Baada ya kupata picha hizo, walimtishia kuzisambaza ikiwa asingewalipa Mamia ya Dola za Marekani.
Imeelezwa Jordan aliwalipa hadi alipoishiwa kabisa ambapo aliwaahidi...