Binafsi mimi ni mzalendo na nnapenda sana kufuatilia tamthilia za hapa bongo mara moja moja pindi nkipata nafasi nkiwa home,
Kuna hii Huba series inayorushwa DSTV (Maisha Magic bongo) ni ya muda mrefu sana, na imepewa airtime week nzima kuanzia J3 - Ijumaa, Hii series mwanzoni iliteka sana...