uhamiaji haramu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Kukithiri kwa wahamiaji haramu Tanzania hasa kutoka Malawi

    Maeneo mengi ya Tanzania mfano Dar es Salaam na Pwani kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wahamiaji haramu hasa watu kutoka nchi ya Malawi ambapo wameathiri sana ajira na vibarua kwa wazawa. Mfano kuna kampuni ya ulinzi ipo Dar es Salaam, 70% ya walinzi ni Wamalawi Kuna baa na lodge, shule na...
  2. kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi ukimbizini?

    Hii ni ETHIOPIA, wanaongoza kwa kupata treni ya kisasa mapema, ndege nyingi, barabara za juu kwa juu, nk ktk Africa Mashariki. Lakini najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi Ukimbizini Ilhali Ethiopia hakuna VITA? naomba majibu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…