Serikali na vyombo husika vinapaswa kuliangalia hili tatizo la kukwama kwa maombi ya passport/hati za kusafiria ni mwaka sasa wananchi hawajapa passport za umeme na server zikidaiwa kuwa ni sababu za kukwamisha hayo maombi
Wizara nyeti kama uhamiaji inawezekanaje kukaa ndani ya mwaka mzima bila...