1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu.
2...
Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport.
Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya.
Je ni haki?
Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende...
Ndugu wanajamii,
Nimechoshwa na uzembe unaofanywa na Idara ya Uhamiaji Tanzania hasa kwenye masuala ya utoaji wa huduma kwa wateja. Kwanza kabisa, hakuna namba maalum ya huduma kwa wateja ambayo mtu anaweza kuipigia kwa msaada pale ambapo kuna shida yoyote. Ni aibu kuona idara kubwa kama hii...
Tanzania, nchi ya uchumi wa kati, miongoni mwa nchi zinazoendelea kwa kasi barani Africa, yenye wananchi watiifu kwenye ulipaji kodi, inayoongozwa na serikali inayohamasisha bihashara na uwekezaji ila inakwamishwa na viongozi wachache walio kwenye sekta nyeti ikiwemo UHAMIAJI.
ZaIdi ya miezi...
Naomba msaada. Mimi niliomba passport ya kusafiria trh 30/03/2023 pale ofisi kuu ya Uhamiaji Kurasini. Nilimaliza taratibu zote za malipo, kupiga picha, Fingerprint na yule ofisa wa Uhamiaji akanambia niende kuchukua passport yangu trh 13/04/2023 cha ajabu nimeenda nimeambiwa tena bado haijatoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.