Ndugu wanajamii,
Nimechoshwa na uzembe unaofanywa na Idara ya Uhamiaji Tanzania hasa kwenye masuala ya utoaji wa huduma kwa wateja. Kwanza kabisa, hakuna namba maalum ya huduma kwa wateja ambayo mtu anaweza kuipigia kwa msaada pale ambapo kuna shida yoyote. Ni aibu kuona idara kubwa kama hii...