Kwanza kabisa lazima tujiulize je serikali hii ina mpango wa kupunguza matumizi yasiyo na ulazima wowote au yenyewe Haina huruma na pesa za walipa Kodi, Kwasababu action za serikali zinaitia hasara serikali pakubwa sana. Jamani hasara za riba ya mikopo ningedhani yatosha , kumbe bado tuna hasara...