Tunaipongeza serikali kwa kuajiri madaktari wengi sana mwaka huu hasa tamisemi.
Pamoja na hilo kumekuwa na malalamiko mengi sana kwa wale ambao wamesha oa na waliomba kupangiwa katika mikoa ambayo wapo wanaishi na familia zao.
Cha ajabu pamoja na watu hai kuanfika kwamba wameoa au wameolewa ...