Watumishi wamehamishwa kutoka kituo A cha kazi kwenda vituo vingine bila malipo, ingawa agizo la uhamisho lilitolewa na kamati maalumu ya ukaguzi.
Mkuu wa idara, akionyesha nia njema, aliwaita ofisini ili kila mmoja achague kituo cha kazi kwa maandishi.
Hata hivyo, amezitumia barua za...
Habari wakuu
Nauliza hivi inawezekana mtumishi wa halmashauri akahamia TARURA au DART pasipo uhamisho wake kupitia UTUMISHI??
Yaani uhamisho ukafanyika kupitia TAMISEMI tu???
Nimeona tangazo la UTUMISHI kuhusu suala la uhamisho kwa wenza! Kiukweli inashangaza kuona tunaletewa drama na maisha yetu.
Wapo watumishi wengi ambao maombi yao yako UTUMISHI AU TAMISEMI yakisubiria approval ya makatibu wakuu kwa muda mrefu.
Je, hao nao waandike barua upya kwenda kwa...
Husika na mada tajwa hapo juu,
Kwanza naipongeza serikali ya awamu ya 6 kwa kuleta huu mfumo wa uhamisho kwa Watumishi wa umma kwasabu umerahisisha huduma na kuondoa urasmu kwa Watumishi.
Pili. Ni vema kwa wale ambao wanafanikiwa kuhama kwa njia ya Mfumo wa ESS basi wakawa wanawashuhudia...
Nimepandisha mara nyingi nyuzi zangu especially zinazohusiana na masuala ya TAMISEMI hasa uhamisho nadhani uliona ndio maana ulimtuma Naibu Katibu Mkuu Charles Msonde. Sina hakika kama ulimtuma wewe au ndo unaendelea na kiburi chako.
Ok Msonde amekuja ila hamna cha maana alichoongea zaidi ya...
Watumishi waliohama kada mbalimbali wanakutana na usumbufu hasa katika mfumo wa ESS katika kupangilia malengo ya utekelezaji na hivyo kuwa kikwazo katika utendaji kazi wao wa kila siku.
Kwa mujibu wa taratibu za sasa wenye jukumu hili la kuhamisha taarifa za watumishi na mishahara ni...
Anonymous
Thread
malengo ya utekelezaji
mfumo wa ess
tamisemi
uhamishowatumishiwaumma