uhamisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia amefanya Uteuzi na Uhamisho wa viongozi mbalimbali leo tarehe 14.12.2023

    UTEUZI: Rais wa Tanzania, Dtk. Samia Suluhu Hassan amemteua Michael Kachoma kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega akichukua nafasi nafasi ya Veronica Vicent Sayore ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Rais Samia pia amemteua Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Wanging’ombe Maryam...
  2. Ni muda Sasa wa serikali kutoa muongozo kuhusu uhamisho wa Mbarali

    Ndugu wana jamvi nisicheleweshe muda. Mwaka Jana mwezi Novemba serikali ilitoa katazo la kufanya shughuli za kilimo Kwa maeneo kadhaa na kuidhinisha uhamisho wa baadhi ya vijiji. Mwezi Disemba waziri mkuu alifuta GN 28 na kufanya marekebisho ya maeneo ya kuhama na kufanya shughuli za kilimo...
  3. Mfumo mpya wa ESS wa uhamisho wa watumishi unahujumiwa kwa makusudi?

    Hilo ndilo tatizo kubwa sababu suala la uhamisho pale TAMISEMI ni rushwa tupu, sasa huu mfumo umekuja kuzuia ulaji wa watu hivyo wameuhujumu taatifa za kuhama na kubadilisha vituo hazipo, yaani hakuna updates zozote zinazoingia.
  4. Rushwa ya Ngono na Fedha zilitawala katika Idara za Uhamisho na Upangaji vituo vya kazi katika Halmashauri za Dodoma mwaka 2022

    Matukio ya Rushwa za Ngono na Fedha bado yanaendelea kuwa kikwazo cha upatikanaji wa Haki katika huduma ikiwemo kuwakosesha Watumishi wenye Sifa fursa za kupata Uhamisho wa Idara au Vituo vya Kazi kutokana na kukataa au kutoridhia masharti ya kutoa Rushwa. Ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na...
  5. N

    Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC. Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo; 1. Iringa 2. Mbeya 3. Morogoro
  6. DOKEZO Wakurugenzi na Wakuu wa Idara (sana sana DMO's na DEO's) wamekuwa kikwazo kwenye zoezi zima la uhamisho wa watumishi kwa mfumo mpya ESS

    WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA (SANA SANA DMO's na DEO's) WAMEKUWA KIKWAZO KWENYE ZOEZI ZIMA LA UHAMISHO WA WATUMISHI KWA KISINGIZIO CHA KUTOKUWA ORIENTED NA MFUMO MPYA WA HUDUMA YA UHAMISHO WA WATUMISHI ESS Habari za Asubuhi wanajamvi, Nimeleta habari hii baada ya kujiridhisha na kufanya...
  7. Serikali imeruhusu Uhamisho wa Watumishi lakini kuna Hamashauri zinakwamisha, Waziri anayehusika aingilie kati

    Kuna baadhi ya Halmashauri zinakwamisha juhudi za Serikali kwa makusudi ili ionekane Serikali haifanyi kazi. Povu langu ni kuhusu mfumo wa uhamisho Serikalini, kubadilishana kwa Watumishi kumeruhusiwa tangu Septemba lakini mpaka leo Halmashauri haijatoa tamko na waliojisajili mamekosa approval...
  8. Rais Samia wanakuhujumu kwenye umeme na maji uonekane hufai

    Mara baada ya kumuondoa maharage wapambe wake wanazima umeme na maji hayasukumwi kwa baadhi wa wananchi. Kisimngizio pressure/msukumo mdg? Kinyerezi Kanga ipo sintofaham wanakuhujumu mh rais ili Uonekane hufai, hawasambazi maji wanayafunga makusudi wanadai msukumo mdogo. Watanzania wa ajab...
  9. TAMISEMI: Hatutapokea barua ya maombi ya uhamisho, watumishi waombe kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya Watumishi wanaoomba kuhama kushindwa kutekelezewa maombi yao pamoja na kutengenezewa mazingira ya rushwa, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema imebainika kuwa wanaopewa fedha siyo Watumishi isipokuwa ni watu wengine wenye nia ovu katika...
  10. Waziri Simbachawene: Saini feki za Katibu Mkuu UTUMISHI na TAMISEMI zinatumika kuhamisha watumishi vituo

    Serikali imebaini baadhi ya watumishi wa umma wanatumia njia za udanganyifu na nyaraka za kughushi mtandaoni, ili kufanikisha uhamisho wa vituo vya kazi pasipo kuridhiwa na mamlaka husika. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema...
  11. A

    DOKEZO TAMISEMI tufahamisheni, lazima Mtumishi alipie fedha ili apate uhamisho?

    Naandika andiko hili nikiwa ni mmoja wa watumishi wa Serikalini, na nimelazimika kuleta andiko hapa kwa kuwa nguvu kubwa inayotumiwa na wanaofanya mambo kwa mlango wa nyuma wana nguvu kuliko Watumishi wengi ambao ndio wanaokamuliwa hela bila kupenda. Inajulikana wazi kuwa Mtumishi anapokuwa na...
  12. K

    Mwenye kujua kuhusu uhamisho wa muda, naoma msaada

    Moja kwa moja kwenye mada naomba kujua stahiki za mtumishi anapokuwa " UHAMISHO WA MUDA" ambao nafikiri ni siku 90 au 120 kama sijakosea. Mimi Niko uhamisho wa muda hivyo naomba kujua haki zangu na ikiwezekana wajuzi niwekee ni sheria za kiutumishi zinasimamia jambo hili.Naona boss ananichezea...
  13. TAMISEMI na sarakasi za uhamisho wa Watumishi. Chaka jipya la kuwaibia Watumishi

    Baada ya sarakasi za kuahidi kuwa watatoa uhamisho mara 4 kwa mwaka, sasa wamekuja na ESS wakati watumishi wamepoteza nauli na usumbufu mwingi ili kukamitisha paper work ambazo tayari TAMISEMI wanazo. Kinachofanyika ni wizi na rushwa maana watu wanaotoa rushwa wanahama na vibali vinatoka. Huu...
  14. Hongera Mchengerwa kuwa waziri TAMISEMI. Nakuomba yatazame haya, vibali vya uhamisho vina urasimu mkubwa

    Mkuu mi Sina mashaka na utendaji wako kabla ya kuwa Waziri tangu ulipokuwa Ofisi ya mwana Sheria Mkuu wa serikali baadaye ukawa Waziri wa Utumishi kwakweli uliwafuta Watumishi machozi kwa wale walioganda daraja moja kwa miaka 6 walipata uhueni. Siwezi kuyazungumzia mazuri yote uliyofanya...
  15. S

    Katibu Mkuu TAMISEMI, kwanini unanyanyasa watumishi wa umma kwa kuwanyima uhamisho wao halali?

    Siku za karibuni Rais alifanya mabadiliko madogo kwa makatibu wakuu ambapo ndg. Adolf Ndunguru alipelekwa Ofisi ya Rais- TAMISEMI. Huyu bwana tangia aingie katika ile ofisi alikuta tayari kuna watumishi walishapata uhamisho hasa wale wa kubalishana vituo vya kazi. Jambo la ajabu amezuia...
  16. Uhamisho wa chuo kwa wanafunzi wanaoendelea

    Wasalaam... Nilikuwa naomba kujua utaratibu ukoje kwa wanafunzi wanaotaka kuhama chuo kimoja kwenda chuo kingine. Conditions 1. Course ni ile ile, let say natoka DIT nikiwa nimesoma mechanical engineering mwaka wa kwanza. Lakini nataka nisome mechanical engineering mwaka wa pili nikiwa MUST...
  17. Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa. Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu...
  18. Page ya TAMISEMI imedorora, taarifa za uhamisho hamtoi, watu wanahama kimyakimya na hatma yetu hatuielewi

    Nategemea kuhama na nimekamilisha taratibu zote. Nasubiri majina kwenye ubao wa tovuti ya TAMISEMI lakini sioni kitu. Cha ajabu hapa kazini kwangu, watumishi wapya tunawapokea wakiwa na Uhamisho kutoka nje ya MKOA. Nataka kujua anayepokea hizi rushwa TAMISEMI na Mimi nimpelekee anihamishe.
  19. J

    Vibali vya uhamisho kwa watumishi wa umma

    VIBALI VYA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA E Mungu Muumba mbingu na nchi,umeiwekea Dunia vitu vyote wakiwemo Wanadamu.Umewapa wanadamu uwezo wa kuongoza na kutawala viumbe wengine. Twakuomba katika kuongoza na kutawala, uwajalie viongozi wetu wa Tanzania afya njema, Hekima na Busara ili pamoja...
  20. J

    Vibali vya uhamisho kwa watumishi wa umma

    VIBALI VYA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA:- E Mungu Muumba mbingu na nchi,umeiwekea Dunia vitu vyote wakiwemo Wanadamu.Umewapa wanadamu uwezo wa kuongoza na kutawala viumbe wengine.Twakuomba katika kuongoza na kutawala,uwajalie viongozi wetu wa Tanzania afya njema ,Hekima na Busara ili pamoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…