uhamisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  2. B

    Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

    SOMO LA MALI KWA WANANDOA KWA KILICHOTOKEA KWA ACHRAF HAKIMI NA MKEWE. Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mke wa ACHRAF HAKIMI ameshindwa kupewa mali yoyote baada ya ndoa yao kuvunjika kwasababu Hakimi aliziandika mali zote jina la mama yake mzazi. Je jambo hili linawezekana kwa Sheria za...
  3. Kutoka NACTE: Maombi ya Uhamisho kwa wanafunzi wanaoendelea

    Tafadhali soma kwa umakini taarifa na mahitaji muhimu ya kuhama kabla hujaanza kufanya maombi ya uhamisho. Tarehe ya mwisho ya kuomba uhamisho ni 30-04-2022. Masharti na Sifa kwa Waombaji, Taarifa kwa Waombaji: 1. Mwanafunzi anashauriwa kuhakiki na kufahamu taarifa za msingi za chuo...
  4. M

    Ninazuiwa kupata uhamisho kazini, nifanye nini?

    Habari walimu wenzangu, najua mpo. Mimi nilifuatilia uhamisho direct mwenyew Tamisemi kwa Katibu Mkuu kutokana na changamoto za maradhi. Nilitumia vyeti vya hospitali kumuomba Katibu Mkuu hatimaye akanipa kibali, sasa huku halmashauri kwangu Afisa Utumishi amegoma kunifungia data kuwa mpaka...
  5. Msaada wa ufafanuzi wa uhamisho kutoka Halmshauri kwenda Mamlaka ya Bandari

    Habari wana JF, Pasipo kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumishi kwenye Halmshauri X, nimeajiriwa kama afisa mtendaji, ila kwa bahati mzuri nina diploma ya shipping and port operation management pale Bandari College sasa lengo langu...
  6. Nahisi kuna Watu wanapendelewa katika Mabadiliko na Uhamisho yafanywayo na 'Boss Kubwa' kutokana na Ushkaji na Uchawa

    Tena nahisi kuna Wengine hupigiwa hadi Simu na Kuulizwa kwa Kubembelezwa kama si Kudekezwa huku Wengine kwa Kuwakomoa au Chuki Kwao wanapelekwa ( wanatumwa ) mbali. Hivi Kijana kama Niki wa Pili unamtoaje Kisarawe na kumpeleka Kibaha? Kwanini kwa Umri wake asipelekwe huko Wilaya ya Mpakani kwa...
  7. Y

    Je, kuna uhamisho wa kuhama Sekta moja kwenda nyingine?

    Habari wakuu ningependa nieleweshwe taratibu kamili za kufuata ili uweze kuhama sekt moja kwenda nyingine. Mfano.sekta ya maji kwenda sekta ya madini.
  8. Naweza kuomba uhamisho wa ndani ya Halmshauri bila ya kuthibitishwa kazini?

    Habari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023 Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
  9. Majina ya Uhamisho wa walimu yanatoka lini ?

    Wajumbe Nataka kufahamu ni lini huwa majina ya uhamisho wa walimu huwa yanatolewa na Tamisemi. Msaada
  10. Hivi kuna gharama za uhamisho kwa mtoto wa Shule ya Msingi?

    Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real? Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae. Lakini Kama itakuwa sio...
  11. Utaratibu wa Uhamisho kwa Mwanafunzi upoje?

    Habari za jioni wandugu? Nina kijana amesoma kuanzia nursery hadi darasa la saba English medium schools. Matokeo yake masomo yote amepata alama A. Amechaguliwa kwenda kusoma shule ya sekondari ya kutwa(sio za kata) Ila mwanangu anapenda sana kwenda kusoma shule ya bweni ya serikali. Naomba...
  12. J

    Uhamisho wa uonevu TRA, Kamishna Mkuu tafadhali ingilia kati

    Mheshimiwa Kamishna Mkuu wa TRA, nachukua fursa hii kukuomba uingilie kati uonevu unaofanywa na wasaidizi wako kwenye uhamisho unaoendelea sasa. Nimefanya kazi TRA miaka mingi lakini hali iliyojitokeza sasa si ya kufumbia macho. Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi...
  13. Barua za uhamisho kutoka mkoani kwenda wizarani huchukua muda gani?

    Wanajamii wenzangu, barua yangu ya uhamisho katika ngazi za wilaya ilikamika kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine baada ya kusota kwa muda mrefu na nilishapeleka mkoani. Nashindwa kuelewa process ya mkoani kwenda wizara itachukua muda gani isije ikawa zinawekwa kapuni mana mpaka naifikisha mkoani...
  14. Stendi ya Mbagala Rangi Tatu kuhamishiwa Kijichi, sababu ni nini?

    Leo asubuhi nimepishana na mabasi mengi sana ya mikoa ya Kusini pamoja na basi ndogo za Mkuranga na Kibiti yakielekea stendi ya Kijichi. Nikamuuliza mtu mmoja imekuwaje leo haya magari yanaenda Kijichi badala ya Mbagala rangi 3? akajibu magari yote ya mikoani yanayoanzia Mbagala Sasa hivi stendi...
  15. DOKEZO TAMISEMI na upendeleo uhamisho wa walimu Karagwe

    Naam! Nadhani inajulikana kuwa Innocent Bashungwa ni Waziri wa TAMISEMI. TAMISEMI iliweka utaratibu wa uhamisho wa watumishi wa umma, mfano walimu wanapotaka kuhama vituo vyao vya kazi, sharti wapate walimu wenzao wa kubadilishana nao. Sasa ni hivi, inakuwaje mmeruhusu watumishi hasa walimu...
  16. M

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia PF Number

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia (PF) number na taratibu za uhamisho kutoka shirika moja kwenda jingine.
  17. A

    Uhamisho wa kubadilishana

    Habari wana JF. Mimi ni mtumishi wa umma Mteknolojia maabara msaidizi niliepo Mtwara DC naomba kubadilishana na mtumishi alieko tayari kutoka halmashauri ya Chalinze. 0656797325 Naomba ushirikiano wenu wakuu
  18. WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe. Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
  19. Waziri Bashungwa asema wahitimu wa kidato cha 4 wanaohitaji uhamisho waripoti kwanza kwenye vituo walivyopangiwa

    Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa wanafunzi kubadili kutoka vyuo kuelekea kidato cha tano kwa sababu mbalimbali Bungeni amesema, wahitimu hao wanapaswa kuripoti katika vyuo au shule walizopangwa...
  20. Ushauri: Natamani kuomba uhamisho nikafanyie kazi kijijini kwa wazazi wangu

    Salaam wakuu, Nimefanya kazi huku mjini kwa miaka10 saivi. Bado sina ndoa japo umri unaruhusu kufanya hivyo. Huku mjini sijafanya uwekezaji wamaana kutokani na changamoto za gharama za maisha kuwa juu. Nahisi nalipa kodi kubwa kuliko watanzania wenzangu wakijijini kwani huku mjini kila ikianza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…