uhamishoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

    Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa...
  2. Israel wanaomba Mateka waachiwe Gaza. waondoe majeshi yao na viongizi wa Hamas waende uhamishoni

    Wanakumbi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken wakati wa mkutano wake na maafisa wa baraza la mawaziri la vita: Kawambua haiwezekani kuiondoa Hamas Gaza katika hali yake sasa Israel wamerudi Qatar tena hali tete Gaza. Baraza la mawaziri la vita la Israel liliwekwa Jumatano...
  3. Mwaisa nimerejea sasa, baada ya kuwa uhamishoni kwa muda. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari ndugu wanaJF Poleni kwa majukumu, niliwamisi Sana ndugu zangu nilikuwa uhamishoni kwa muda ila nimerejea salama. Natuma salamu kwa wafiatao sky eclat faiza fox kichwa kichafu mpwayungu mshana Jr To yeye wa stendi na wote wanaosoma Uzi huuu......... UJUMBE TUKUMBUKANE KUPITIA JAMIIFOFUM
  4. J

    Leo ni kama siku tuliyompokea Mwanamageuzi Oscar Kambona kutoka Uhamishoni Uingereza!

    Hamasa ninayoishuhudia leo inanikumbusha siku tuliyompokea Mwanamageuzi Oscar Kambona kutoka Uhamishoni Uingereza. Kiukweli Bila kujali itikadi ya vyama wananchi kwa maelfu walifurika kumlaki. Hata leo naona Watu wameweka itikadi pembeni labda tu Sukuma gang ndio bado wanajishauri. Karibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…