Wote tunatambua kuwa wamasai wa Ngorongoro wamehamishwa toka makazi yao ya asili huko Mkoani Arusha, wakavushwa mkoa wa Kilimanjaro, mpaka kwenda kutupwa mkoani Tanga. Huu ni uharamia mkubwa dhidi ya utu ambao haujawahi kutokea.
Mara kadhaa watu wamehamishwa kupisha miradi mbalimbali. Na katika...