Ikiwa ni siku chache tu tangu Kundi la Tembo kutoka Hifadhi ya Burigi - Chato kuvamia Mashamba na Makazi ya Wakulima wa Kata ya Kasulo, Wilayani Ngara Mkoani Kagera, Wananchi wengi walioathirika na uvamizi huo wamepoteza matumaini yao huku wakijiandaa kukabiliwa na balaa la njaa kwa mwaka huu...
Wakulima wa Kijiji cha Luganga Kata ya Ilolo Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwaondoa wanyama pori, Viboko na Tembo ambao wanaingia katika eneo la mazao yao na kufanya uharibifu hivyo kusababisha hasara kwa wakulima.
Wakulima wamesema kuwa wametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.