uharibifu wa mazingira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Pre GE2025 Wanasiasa Tanzania wasipuuze Sera za Mazingira kwa kudhani hazishawishi kura. Mabadiliko ya Tabianchi ni kipaumbele kwa Wapiga Kura wengi

    Picha: Mafuriko ni miongoni mwa athari nyingi zinazoletwa na Mabadiliko ya Tabianchi Tafiti zinaonesha kuwa mabadiliko ya tabianchi bado hayajapewa kipaumbele kikubwa katika chaguzi nyingi za Afrika (Tanzania ikiwa miongoni mwazo), licha ya athari zake kubwa barani humo. Masuala yanayopewa...
  2. The Sheriff

    Pre GE2025 Mbunge wako amefanya nini kukabiliana na uharibifu wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabianchi? Una mipango gani naye 2025?

    Mabadiliko ya tabianchi yamekuwa changamoto kubwa duniani, na Tanzania imeathirika pakubwa kutokana na kuongezeka kwa matukio ya hali mbaya ya hewa kama mafuriko, ukame, na kupungua kwa rasilimali muhimu kama vile maji. Hali hii imeathiri sekta nyingi muhimu kama kilimo, nishati, na afya, na...
  3. Rusumo one

    Uchimbaji madini na uharibifu wa mazingira kata ya Galigali-Mpwapwa

    Habari za usiku wakuu na wote humu. Nijikite kwenye mada juu. Katika mihangaiko yangu nipo eneo la Kata ya Galigali Kijiji cha Matonya na pia Kuna mida nakuwa Kitongoji cha Idete hapa baridi kali Sana huku nikiendelea kusaka maharage kwaajili ya biashara. Nachosikitika ni kuona madini...
  4. Heparin

    Dkt. Biteko: Uharibifu wa Mazingira unachangia ukosefu wa umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema moja ya vyanzo vinavyosababisha tatizo la umeme nchini ni ukosefu wa maji unaochangiwa na uharibifu wa mazingira. Amebainisha kuwa pamoja na uwepo wa ongezeko la watu, umeme tunaotumia unatokana na maji ambayo hupungua kutokana na...
  5. BLACK MOVEMENT

    SoC03 Kuna Machozi ya Mamba kwenye kupambana na uharibifu wa Mazingira

    Mamba anajulikana kwa kuwa na machozi ya kinafiki sana, unaweza muona analia machozi yanatoka kumbe ana zuga. Sasa na sisi kwenye Kupambana na uharibifu wa Mazingira ni bora tukaacha unafiki kama wa Mamba. Mabadiliko ya Tabia nchi ni kweli yapo na yanaendelea kutuletea matatizo makunwa sana na...
  6. T

    Imaging Africa kitendo chenu cha kukata miti usiku Bamaga Mwenge ni cha kihuni, na ni uharibifu wa mazingira, hakikubaliki

    Kampuni ya matangazo ya Imaging Africa usiku wa jumamosi tarehe 24.06.2023 walifanya uharibifu mkubwa wa kimazingira kwa kukata miti iliyooteshwa pembezoni mwa barabara. Imaging Africa imefyeka miti hiyo ambayo hawakushiriki kuiotesha wala kuitunza. Wamefyeka miti ili ubao wao wa matangazo ya...
  7. Roving Journalist

    Shughuli za Kibinadamu zinaharibu Mazingira na kuweka hatarini Mustakabali wa Maisha ya Vizazi vijavyo

    Shughuli za kibinadamu zimepelekea uharibifu mkubwa wa misitu na ukataji Miti kwa ajili ya kuni na mkaa ambao unaweka hatari kubwa kwa vizazi vijavyo. Uharibifu huu wa misitu una athari kubwa kwa mazingira na ustawi wa binadamu. Misitu ina jukumu kubwa na muhimu katika kudhibiti mzunguko wa...
  8. K

    Mamlaka Bariadi zimeruhusu uharibifu huu wa Mazingira?

    Ni kama Mamlaka zinazohusika na utunzaji wa mazingira katika Wilaya ya Bariadi, zimeruhusu uharibifu huu wa mazingira unaofanya kwenye vyanzo vya maji. "Uchimbaji wa mchanga katikati ya mito". Uharibifu huu umeanza muda mrefu lakini hakua hatua zinazochukuliwa, wachimbaji wa mchanga wenyewe...
  9. J

    NEMC, Wizara ya Muungano na Mazingira ni wazi wameshindwa kudhiti uharibifu wa mazingira

    Kama umezaliwa kijijini kuanzia miaka ya 90 kurudi nyuma hebu jaribu kuvuta picha ya mazingira nyuma(mito, milima, mapori) jinsi yalivyokuwa then linganisha na leo ndio utaweza kukielewa ninachoenda kuzungumzia. Nimezunguka sehemu nyingi za nchi hii kutoka kaskazini, mpaka kusini kanda ya kati...
  10. MamaSamia2025

    Viongozi wa Dini wakemee pia Uharibifu wa Mazingira wanapohimiza watu waache dhambi ili mvua zinyeshe

    Pichani ni mti niliokuta umekatwa sehemu ambayo hakuna miti kabisa na kuna shule ya sekondari. Na pia eneo ambalo mti ulikuwepo sio hata uwanja wa mpira. Mimi kama mpenda mazingira nikajiuliza maswali mengi sana yanayoweza kuwa sababu ya kukata huu mti nikakosa sababu yenye mashiko. Nimepanga...
  11. brokenagges

    Kwa ubinafsi huu ni aibu na kukosa uzalendo

    Nipo maeneo ya Arusha mjini, ninasikitishwa sana na hali niliyoiona maeneo ya barabara ya Sokoine jirani na hospital ya AICC. Eneo hili ni mahali kilipo chuo cha utalii cha Tropical Institute. Ukataji miti unaofanyika hapo barabarani eneo la nje ya chuo kwa sababu ya kupasafisha ili mgahawa...
  12. Lady Whistledown

    Tunisia yadhamiria kupunguza uharibifu baada ya meli inayobeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama

    Tunisia itafanya kazi na nchi nyingine ambazo zimejitolea kuisaidia kuzuia uharibifu wa mazingira baada ya meli ya kibiashara iliyokuwa imebeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama katika maji ya Tunisia, wizara ya ulinzi ilisema Jumapili. Meli hiyo ilikuwa ikitoka Equatorial Guinea kuelekea Malta...
  13. JanguKamaJangu

    Vifo vya Samaki Mto Mara: Kamati ya Dharura yaundwa kuchunguza Samaki wanaodaiwa kufa kwa Sumu

    Tuweke mzigo mezani Ndugu zangu kuna hii taarifa, yupo yeyote ambaye anajua ukweli wake, maana mtu ambaye yupo ndani mgodini amenitumia ujumbe huu ambao nimeambatanisha na picha alizotuma: BARRICK NORTH MARA YAFUNGULIA MAJI YA SUMU NA KUTEKETEZA SAMAKI MTO MARA Jitihada zimefanyika ili kujua...
  14. Hon John Joseph

    Manispaa ya Morogoro imedhamiria kukabiliana na hali ya uharibifu wa mazingira

    Kata ya luhungo katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, imedhamilia kukabiliana na Hali ya uharibifu wa mazingira ulioonekana kuikumba kata hiyo ikiwa ni kiongozi mwa kata nne (4) zinazotegemewa kwa uhifadhi wa vyanzo vya maji vinavyopeleka maji yake katika bwawa la Mindu lililopo katika...
  15. Abdalah Abdulrahman

    Kupunguza idadi ya Maegesho Kariakoo ili kuongeza usalama wa Watu na mali zao

    Nimesoma hivi karibuni Ufaransa itapunguza maegesho 70,000 ya magari katika mji wa Paris,hii inatokana na sababu kuwa maegesho ya magari yanachukua takribani nusu ya eneo la mji wa Paris yakiwa na idadi ya asilimia 13% ya watu katika mji wa Paris. Hapa Tanzania eneo la Kariakoo ambalo ni eneo...
Back
Top Bottom