uharibifu wa miundombinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanaoharibu miundombinu yetu ya barabara ni viongozi wetu, tazama hii!

    Kwanza wanachelewa kuamka kwenda kazini. Pili, ving'ora na usumbufu mwingi kwa kelele barabarani. Tatu wanapita hata sehemu za barabara zisizoruhusiwa kupita magari na hivyo kubomoa, mfano sehemu za waenda kwa miguu. Hili nimelishuhudia leo asubuhi Service road Bagamoyo road asubuhi ya leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…