uhasibu na usimamizi wa fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta kazi katika fani ya Uhasibu na Usimamizi wa Fedha. Nipo tayari ku-relocate sehemu yoyote

    Habari wana JF wote; Kwa jina naitwa Adam Ramadhani, Nina umri wa miaka 25 na kwa sasa naishi mkoani Tanga. Nimefanikiwa kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu na kupata shahada ya Uhasibu na usimamizi wa fedha yani (Bachelor of Accounting and Finance in Business Sector) Katika chuo kikuu cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…