Hongereni kwa ujenzi wa Hostel, frames na majengo mengine mengi yanayoonekana karibu na fence mnayoendelea nayo.
Swali langu:
Kama zege ya 4 by 15 ( Estimate) mlishindwa isimamia, baada ya kujenga ikaporomoka kabla ya kukauka, mpaka mkahamisha gate kwa muda.
Hii ni aibu Kubwa sana kwa mifumo...