Nahitaji kazi ya uhasibu nipo Arusha, elimu yangu ni bachelor of accounting and finance nimemaliza 2019. Nina zoefu wa kutumia tally na kuandaa cash statement vizuri katika computer. Pia nina uzoefu wa kufanya marketing and sales.
Nilikuwa nafanya biashara ila mambo yangu yameenda tofauti kwa...