uhifadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Longido Arusha: Shirika la World Wildlife Fund (WWF) lapeleka miradi ya unenepeshaji mbuzi vijiji 4 kulinda uhifadhi

    SHIRIKA la World Wildlife Fund (WWF), limepeleka kwa wananchi wa vijiji vinne vya Alaililai, Gelai Lumbwa, Noondoto na Orpurkeri katika Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, miradi ya kiuchumi ya unenepeshaji wa mbuzi, ili kuwasaidia wananchi hao kuwa na kipato mbadala,kitakachowasukuma kuachana na...
  2. Lord denning

    CCM inakuwaje Askari wetu wa Uhifadhi wanakosa nguo na vifaa vya uhakika hadi kufikia kuvaa kama vikosi vya Waasi/ Askari wa DRC?

    Nimesikitishwa sana kuona uvaaji wa Askari wetu wa uhifadhi wanaofanya operesheni ya kuua fisi huko mkoani Simiyu. Inakuwaje nchi iliyofikisha Watalii Milioni 5 mwaka huu ambao wameingiza fedha za kigeni za kutosha kushindwa kuwanunulia nguo na vifaa stahiki askari wetu wa Wanyamapori...
  3. L

    Huawei yazindua mradi wa uhifadhi wa eneo lililohifadhiwa la baharini nchini Kenya

    Mwanzoni mwa karne ya 20, harakati za wahifadhi mazingira zilizochochewa na watu mashuhuri kama vile John Muir, Gifford Pinchot, na Paul Sarasin zilisisitiza haja ya kuhifadhi mazingira ya asili. Katika kukabiliana na mahitaji yanayokua ya kulinda mazingira haya ya asili na kuratibu juhudi za...
  4. Lycaon pictus

    Hatujawahi kuwa na Rais mpenda mazingira na uhifadhi kama John Pombe Magufuli

    Rais Magufuli alikuwa ni Rais mpenda Mazingira na uhifadhi hasa. Wakati anaingia madarakani mwaka 2015 idadi ya Tembo Tz ilisadikika kuwa 43,000. Hadi anafariki mwaka 2021 inasemwa kuwa tembo walifika 60,000. Sababu alidhibiti ujangili. Magufuli alianzisha National Parks tatu. Mwalimu Nyerere...
  5. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mkuu Majaliwa Azindua Rasmi Tuzo za Utalii na Uhifadhi

    WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA RASMI TUZO ZA UTALII NA UHIFADHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua rasmi tuzo za uhifadhi na utalii na kusisitiza kuwa Serikali itendelea kubuni mikakati ya kuimarisha sekta ya Maliasili na Utalii kwa kuwa sekta hiyo ni nguzo muhimu ya uchumi wa Taifa...
  6. Pfizer

    Waziri Chana: TAWIRI ni moyo wa uhifadhi wa wanyamapori nchini

    Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana(Mb) amesema Serikali imekuwa ikitumia takwimu za kisayansi kufanya maamuzi yaliyojikita kuimarisha uhifadhi wa Wanyamapori ili kuwa na Utalii endelevu. Mhe.Chana ametoa kauli hiyo leo Oktoba 16,2024 Jijini Arusha wakati akizungumza...
  7. Dalton elijah

    Maslahi ya mawakala sio maslahi ya umma, taifa wala sio uhifadhi

    Migogoro Wa Ardhi unaoendelea Ngorongoro umekuwa ukijengewa dhana kadhaa ili ikubalike na wengi. Mara ni Mpango wa kuokoa uhifadhi, mara kulinda masalia ya wanyama, mara kulinda vyanzo vya maji, mara kulinda malikale (labda Wamasai wasikanyage fuvu la kale au nyayo labda wanadhani Wamasai ni...
  8. Thabit Madai

    Fahamu mwili wa kiongozi U.S.S.R na uhifadhi wake

    Hii ndio picha ya mwisho ya Vladimir Lenin, aliyekuwa kiongozi wa kwanza wa Muungano wa usovieti, U.S.S.R. Mwaka 1923, Lenin alipata tatizo la kupooza na kupoteza uwezo wake wa kuongea. Hatimaye tarehe 21 January 1924 alifariki dunia. Baada ya kufariki, Joseph Stalin alichukua madaraka...
  9. Crocodiletooth

    Hoja za Serekali za uhifadhi wa urithi wa asili, inaishinda hoja ya masai ya kimakazi

    Uhifadhi wa mazingira ndizo kelele za dunia yetu kwa nyakati hizi, ardhi haiongezeki, bali watu wanaongezeka na masai wameongezeka kwa idadi kubwa ya kutisha, no matter ni eneo waliloishi miaka kwa miaka, ardhi isiyo mbuga ipo tele na yenye rutuba na nzuri kwa malisho ya mifugo. Pia, hoja ya...
  10. D

    SoC04 Je, Tanzania inahakikisha vipi maendeleo yanaenda sambamba na uhifadhi mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa baadaye?

    Je, Tanzania inahakikisha vipi maendeleo yanaenda sambamba na uhifadhi wa mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa na baadaye? Kuhusu swala la Tanzania na maendeleo na uhifadhi mazingira ili liwe halisi inabidi; (a)kwanza serikali ihamasishe wananchi kutumia gesi kama nishati bora kwa matumizi ya...
  11. Kidaya

    SoC04 Vitalu vya kuvuna kuni na mkaa kwa uhifadhi wa mazingira

    Kuni na mkaa ni vyanzo muhimu vya nishati kwa kupikia na kupasha joto, ambapo inakadiriwa kuwa 90% ya watanzania wanategemea kuni na mkaa kwa mahitaji ya nishati (HBS 2020 report). Pamoja na jitihada nyingi zinazofanywa na serikali, mashirika ya kitaifa na kimataifa ya kuhamasisha watu kutumia...
  12. Mbute na chai

    Matumizi na uhifadhi sahihi wa silaha kwa wamiliki Tanzania

    Nimeshawishika kushiriki maarifa haya baada ya kuwepo kwa taarifa za matumizi na uhifadhi mbaya wa silaha hasa kwa raia. Kila mtu Tanzania anayo haki ya kumiliki silaha kwa matumizi binafsi kama vile ulinzi binafsi, kuwinda n.k. Leo sitaongelea namna ya upatikanaji wa haki hii bali vitu vya...
  13. Stephano Mgendanyi

    Waziri Kairuki Amshukuru Rais Samia kwa Maono Makubwa Kwenye Uhifadhi na Utalii

    WAZIRI KAIRUKI, DKT. ABBASI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MAONO MAKUBWA KWENYE UHIFADHI NA UTALII Ikiwa leo ni miaka mitatu tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Katibu Mkuu wa...
  14. Midimay

    Serikali ituonee huruma wananchi mkoa wa Arusha katika masuala ya uhifadhi

    Habari za Alfajiri Watanzania wenzangu. Bila shaka kila mmoja wetu ni shahidi kwamba Mkoa wa Arusha umekuwa ni HOST wa uhifadhi hapa nchini hasa unaohusisha Wanyama Pori. Na hili sio automatic. Sababu kubwa ni nature ya watu wa asili wa mkoa wa Arusha kutokuwa adui kwa Wanyama Pori kwa maana...
  15. peno hasegawa

    Wenye CV ya Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA Juma Kuji

    Ni ombi muhimu, mwenye CV ya Kamishna wa Uhifadhi ,,- TANAPA Juma Kuji . Aiweke hapa!
  16. Kingsmann

    Uteuzi na Utenguzi: Dkt. Kihamia ateuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa DART, Kuji awa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Dkt. Kihamia aliwahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa...
  17. Miss Zomboko

    Afisa Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Mufindi na M/kiti wa Mapanda kizimbani kwa ubadhirifu wa zaidi Sh. Milioni 19

    Afisa Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Wilaya ya Mufindi Bw. Jeswald Gustav Ubisiambali na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mapanda Bw. Oberd Francis Madembo, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa mashtaka mawili; 1. Ubadhirifu na ufujaji 2. Wizi...
  18. MGUBA

    Kukosekana kwa umiliki wa moja kwa moja wa visima vya akiba vya uhifadhi mafuta huchangia bei kupanda?

    Serikari haina umiliki halali yaani moja kwa moja wa mafuta ya hakiba hivyo hupelekea mlipuko wa bei. Bei hupanda na kushuka hata kama kuna changamoto zinazo epukika mfano plani ya miaka kadhaa katika sekta.
  19. L

    Serikali iunganishe taasisi zote nne zinazounda jeshi la uhifadhi

    Nawasalimia ndugu na jamaa zangu, Ama baada ya salamu, naomba kuelekekeza mawazo yetu kwenye mada hii. Wizara ya Maliasili na Utalii, Pamoja na majukumu yake mapana, ina Taasisi na mashirika ya umma yaliyo chini yake. Miongoni mwa Taasisi na mashirika hayo ni: 1. Hifadhi za Taifa (TANAPA) 2...
  20. D

    SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika Kuenzi Rasilimali za Asili na Uhifadhi wa Mazingira

    Utawala Bora na Uwajibikaji katika Kuenzi Rasilimali za Asili na Uhifadhi wa Mazingira Utangulizi Rasilimali za asili na mazingira ni hazina muhimu kwa maendeleo na ustawi wa jamii na taifa. Kuhifadhi na kuenzi rasilimali hizo ni jukumu letu sote. Katika makala hii, tutajadili jinsi utawala...
Back
Top Bottom