uhitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?

    Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea. Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?
  2. M

    Mwenye uhitaji na figo

    Habari zenu wakuu, Kwa yeyote mwenye mgonjwa au yeye anahitaji figo kwa ajili ya matibabu kuna jamaa yangu yupo tayari kujitolea yeye ni blood group O. Njoo pm
  3. S

    Mwenye uhitaji wa mfanyakazi (manual work)

    Kwa wakazi wa Mwanza natafta manual work yoyote halali salary kuanzia 200k per month. Karibu sana wana Mwanza 0625682899. Elimu yangu ni SHAHADA (ila chet nimeshaamua kukiweka pemben kwanza)
  4. nasrimgambo

    Kuna uhitaji mkubwa wa maktaba nyenginezo mpya hapa Dar

    Ukiachana na wanafunzi ambao wanahudhuria shule ama vyuo ambako kuna madarasa na maeneo ya kujisomea, raia wa kawaida wanaotala kujisomea wanapata changamoto kweye mji huu Hasa ukizingatia watu wengi wanaishi mitaa na mazingira yasiyo encourage utulivu wa kujisomea. Kimbilio lao pekee...
  5. Ezra cypher

    Wakuu nina uhitaji mkubwa sana wa kazi angalau 300K tu kwa mwezi

    Habari zenu wakuu. Nipo katika nyakati ambazo hazielezeki wala kusimulika , nimekuwa nafatilia kazi huu mwezi sasa wa tatu. Mpaka nikasema ngoja nijaribu kutembelea na JF the home of great thinkers kuona Kama kuna MTU atakuwa na opportunity anipatie ili niwe busy and productive. Sifa zangu ni...
  6. Magical power

    Kaka hawa ndio wanawake na uhitaji wao kurinagana na umri wao walionao

    MIAKA 18-25 Umri huu wa wanawake walio wengi wao wanawaza masomo walioko shuleni ila walioko nyumbani wanawaza kuolewa wawe na familia Wanaosoma wana taswira za kubwa baada ya masomo yao yaani waajiriwe waanze kupokea mshahara na wengine wanawaza KUENDELEA kusoma masomo ya juu kama digree...
  7. Eli Cohen

    Sasa naelewa kwa nini Democrats wanang'ang'ania kusiwepo na uhitaji wa kitambuliicho chochote kile wakati wa kupiga kura USA

    Wanauiita ni mfumo wa kibaguzi Wanataka mtu yoyote aishiye marekani aweze kupiga kura. Kwa upande mwingine watu wanaamini hii ni mbinu wanatumia ili wahamiaji waliongia marekani bila vibali vya makazi wapewe fursa ya kupiga kura. Kutokana na sera zao za open borders za term hii wamevunja...
  8. zhang laoshi

    Oil chafu zinazokusanywa mitaani zinaenda wapi? Why uhitaji ni mkubwa hivi?

    Habari wadau! Naomba kufahamishwa Kwa anayelijua hili, oil chafu na makopo ya oil yanayokusanywa na watu toka gereji za magari na pikpik zinaenda kutumia kwenye nini? Nilipewa fununu kuwa kuna jinsi zinapikwa na kurudishwa tena dukani... Pia wanawasihi mafundi wakiwa wanafungua wafungue vizuri...
  9. Roving Journalist

    Mkaguzi Kata ya Kisangura (Mara) awapatia Wananchi wenye uhitaji viti mwendo

    Mkaguzi Kata ya Kisangura Wilayani Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/Insp Genuine Kimario ametoa viti mwendo kwa wananchi wahitaji. Mkaguzi huyo amebainisha kuwa ameendelea kutoa viti mwendo hivyo kutokana na changamoto aliyoikuta kwa wananchi anao wahudumia ambapo aliwaomba...
  10. Brave_Idiot

    Kwa mwenye uhitaji wa website?

    Nimepatwa Shida, Bei imenishuka. Natengeneza website kwa Tsh 150,000 tu. Itatumia CMS ya WordPress. Malipo ni baada ya kazi. Work Delivery ni ndani ya masaa 24. Serious customers tu Jamani 🙏 Nipigie #0656801058
  11. Y

    Nina Uhitaji na mashine hii,naomba msaada.

    Nina Uhitaji wa mashine hii. Nina uhitaji wa mashine ya kusagia vitu vigumu (Multpurpose grain grinders.Ikipatikana used au mpya nitachukua. Nina uhitaji wa mashine hii yenye kuzaga kilo 2,3 hadi 5. Mawasiliano yangu, 0621436829 Dsm
  12. Roving Journalist

    INSP Hadja Mfinaga: Wazazi Tusiwafiche Watoto wenye uhitaji

    Mkuu wa dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Hadja Mfinaga amewaomba wazazi wilayani humo kutowaficha watoto wenye mahitaji maalum na badala yake wawafikishe katika vituo na shule maalum ambazo zitawaendeleza kielimu. Kauli hiyo ameitoa...
  13. Mayor Quimby

    Uhitaji wa Social Reformers Tanzania

    Mambo ni shaghala bhaghala kama nchi. Tanzania aichomoki kwa wahusika wa succession planning waliopo hawana clue dunia inazunguka vipi. Take it or leave it hata hao vijana wa kesho waliopewa madaraka leo, wengi hawana uwezo. Get some serious people tume ya utumishi. Kama teuzi za uongozi...
  14. I

    Natoa vitu hivi kwa mwenye uhitaji wa kweli

    Nimehama makazi ila kuna vitu vya ndani sijahama navyo hivyo navitoa bure kwa mtu anahitaji(mwenye shida kweli) au kama unamjua anayehitaji. -Godoro zima kabisa -Nguo- mashati, Tshirts na surual, nguo nzima ila tu ni za kufua -vyombo vichache vya ndani Mtu awahi kabla sijakabidhi chumba...
  15. JituMirabaMinne

    Nahitaji vijana wawili wenye uhitaji wa kujifunza Car Diagnosis, repairs na umeme wa magari kiujumla.

    Sifa Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia). Muaminifu na mchapakazi Garage iko Iko Makuburi, Ubungo. Hakuna malipo. Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
  16. L

    Kwa kijana mwenye uhitaji wa kazi isiyohitaji vyeti

    Mimi ninatafuta kijana wa kazi ya kuuza na kusambaza bidhaa Kwa wateja.kazi ni ya dukani,nafasi moja (1) eneo la kazi ni Arusha Tanzania Sifa zake 1. jinsia yoyote ilimradi awe tayari kukubali mazingira ya kazi. 2. Umri wake awe na angalau miaka 18+ na asizidi miaka 20.( Awe kijana). 3...
  17. C

    Nina uhitaji wa kozi ya lugha ya kingereza

    Wanajamvi naomba mnishauri sehemu ambapo ninaweza kufanya kozi ya lugha ya kingereza, ili niweze kuwa mzungumzaji mzuri, na kuboresha matamashi, uwezo wangu ni "intermediate". Nipo mkoani Dodoma! Kama ni online naomba jina la website Asanteni
  18. C

    Ninahitaji kazi ya ualimu kufundisha Chemistry na Biology

    Kitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistry na biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa. Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule, taaluma na nafasi nyinginezo za uongozi katika taasisi zizsizo za kielimu. Nina uwezo pia wa kufanya...
  19. Mastabata

    Natafuta shule za mahitaji maalum hasa Usonji kwa ajili ya mtoto wangu

    Hellow members, naomba kufahamishwa shule zilizopo dar zinazopokea watoto wenye uhitaji maalum, hasa usonji. Nina mwanangu ana hyo shida
  20. M

    Biblia imesisitiza zaidi kwenye kusaidia zaidi wenye uhitaji na sio kumtajirisha mmiliki/mchungaji au nabii wa kanisa kwa kigezo cha zaka na sadaka.

    Kwenye nyakati tulizopo kumekuwa na utapeli mkubwa miongoni mwetu wakristo kuhusu mambo ya zaka na sadaka. Kuna viongozi baadhi hutumia biblia vibaya kuwatisha waumini wao kwamba inatakiwa sadaka (pesa) zote zipelekwe kanisani. Wengine wameenda mbali zaidi kuwa hata kile kidogo ulicho nacho...
Back
Top Bottom