Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea.
Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?
Habari zenu wakuu,
Kwa yeyote mwenye mgonjwa au yeye anahitaji figo kwa ajili ya matibabu kuna jamaa yangu yupo tayari kujitolea yeye ni blood group O. Njoo pm
Kwa wakazi wa Mwanza natafta manual work yoyote halali salary kuanzia 200k per month. Karibu sana wana Mwanza 0625682899. Elimu yangu ni SHAHADA (ila chet nimeshaamua kukiweka pemben kwanza)
Ukiachana na wanafunzi ambao wanahudhuria shule ama vyuo ambako kuna madarasa na maeneo ya kujisomea, raia wa kawaida wanaotala kujisomea wanapata changamoto kweye mji huu
Hasa ukizingatia watu wengi wanaishi mitaa na mazingira yasiyo encourage utulivu wa kujisomea.
Kimbilio lao pekee...
Habari zenu wakuu.
Nipo katika nyakati ambazo hazielezeki wala kusimulika , nimekuwa nafatilia kazi huu mwezi sasa wa tatu.
Mpaka nikasema ngoja nijaribu kutembelea na JF the home of great thinkers kuona Kama kuna MTU atakuwa na opportunity anipatie ili niwe busy and productive.
Sifa zangu ni...
MIAKA 18-25
Umri huu wa wanawake walio wengi wao wanawaza masomo walioko shuleni ila walioko nyumbani wanawaza kuolewa wawe na familia
Wanaosoma wana taswira za kubwa baada ya masomo yao yaani waajiriwe waanze kupokea mshahara na wengine wanawaza KUENDELEA kusoma masomo ya juu kama digree...
Wanauiita ni mfumo wa kibaguzi
Wanataka mtu yoyote aishiye marekani aweze kupiga kura.
Kwa upande mwingine watu wanaamini hii ni mbinu wanatumia ili wahamiaji waliongia marekani bila vibali vya makazi wapewe fursa ya kupiga kura.
Kutokana na sera zao za open borders za term hii wamevunja...
Habari wadau!
Naomba kufahamishwa Kwa anayelijua hili, oil chafu na makopo ya oil yanayokusanywa na watu toka gereji za magari na pikpik zinaenda kutumia kwenye nini?
Nilipewa fununu kuwa kuna jinsi zinapikwa na kurudishwa tena dukani... Pia wanawasihi mafundi wakiwa wanafungua wafungue vizuri...
Mkaguzi Kata ya Kisangura Wilayani Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/Insp Genuine Kimario ametoa viti mwendo kwa wananchi wahitaji.
Mkaguzi huyo amebainisha kuwa ameendelea kutoa viti mwendo hivyo kutokana na changamoto aliyoikuta kwa wananchi anao wahudumia ambapo aliwaomba...
Nimepatwa Shida, Bei imenishuka. Natengeneza website kwa Tsh 150,000 tu. Itatumia CMS ya WordPress. Malipo ni baada ya kazi. Work Delivery ni ndani ya masaa 24. Serious customers tu Jamani 🙏
Nipigie #0656801058
Nina Uhitaji wa mashine hii.
Nina uhitaji wa mashine ya kusagia vitu vigumu (Multpurpose grain grinders.Ikipatikana used au mpya nitachukua.
Nina uhitaji wa mashine hii yenye kuzaga kilo 2,3 hadi 5.
Mawasiliano yangu,
0621436829
Dsm
Mkuu wa dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Hadja Mfinaga amewaomba wazazi wilayani humo kutowaficha watoto wenye mahitaji maalum na badala yake wawafikishe katika vituo na shule maalum ambazo zitawaendeleza kielimu.
Kauli hiyo ameitoa...
Mambo ni shaghala bhaghala kama nchi.
Tanzania aichomoki kwa wahusika wa succession planning waliopo hawana clue dunia inazunguka vipi.
Take it or leave it hata hao vijana wa kesho waliopewa madaraka leo, wengi hawana uwezo.
Get some serious people tume ya utumishi.
Kama teuzi za uongozi...
Nimehama makazi ila kuna vitu vya ndani sijahama navyo hivyo navitoa bure kwa mtu anahitaji(mwenye shida kweli) au kama unamjua anayehitaji.
-Godoro zima kabisa
-Nguo- mashati, Tshirts na surual, nguo nzima ila tu ni za kufua
-vyombo vichache vya ndani
Mtu awahi kabla sijakabidhi chumba...
Sifa
Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia).
Muaminifu na mchapakazi
Garage iko Iko Makuburi, Ubungo.
Hakuna malipo.
Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
Mimi ninatafuta kijana wa kazi ya kuuza na kusambaza bidhaa Kwa wateja.kazi ni ya dukani,nafasi moja (1)
eneo la kazi ni Arusha Tanzania
Sifa zake
1. jinsia yoyote ilimradi awe tayari kukubali mazingira ya kazi.
2. Umri wake awe na angalau miaka 18+ na asizidi miaka 20.( Awe kijana).
3...
Wanajamvi naomba mnishauri sehemu ambapo ninaweza kufanya kozi ya lugha ya kingereza, ili niweze kuwa mzungumzaji mzuri, na kuboresha matamashi, uwezo wangu ni "intermediate". Nipo mkoani Dodoma!
Kama ni online naomba jina la website
Asanteni
Kitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistry na biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa.
Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule, taaluma na nafasi nyinginezo za uongozi katika taasisi zizsizo za kielimu. Nina uwezo pia wa kufanya...
Kwenye nyakati tulizopo kumekuwa na utapeli mkubwa miongoni mwetu wakristo kuhusu mambo ya zaka na sadaka. Kuna viongozi baadhi hutumia biblia vibaya kuwatisha waumini wao kwamba inatakiwa sadaka (pesa) zote zipelekwe kanisani. Wengine wameenda mbali zaidi kuwa hata kile kidogo ulicho nacho...