uholanzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Familia ya Kisyria huko Uholanzi ilimfunga na kumzamisha binti wao kwenye mtaro. Walipokamatwa, walijitetea kwa kudai ni kawaida katika utamaduni wao

    Jamaa wanasema wamefanya mauaji ya heshima kwa maana binti yao alikuwa amegeuka na kuwa kama "binti wa kimagharibi" Mtapeli mwanadamu vyote, ila ukishamteka katika fikra na imani, basiiii, unamuibia hadi doti ya mwisho ya utu wake
  2. I

    Baharia wa kitanzania ajinyonga kwenye meli nchini Uholanzi.

    Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga. Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro...
  3. BARD AI

    Nicki Minaj akamatwa uwanja wa ndege wa Uholanzi, Begi lake limekutwa na Bangi

    Nyota wa muziki Nicki Minaj amekamatwa kwenye uwanja wa ndege nchini Uholanzi saa chache kabla ya kutumbuiza katika ukumbi wa Co-op Live jijini Manchester. Rapa huyo wa Marekani, 41, alizuiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Amsterdam wa Schiphol kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya. Katika...
  4. Roving Journalist

    Dkt. Kida, Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki ya Uholanzi wakutana na kujadili shughuli za uboreshaji wa mazingira ya Uwekezaji na Biashara

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Dkt. Tausi Kida amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki wa Uholanzi, Bi. Sanne Lowenhardt pamoja na Mshauri Maalum kuhusu Africa wa Wizara hiyo Bw. Melle Leenstra kuhusu uboreshaji wa Mazingira ya Uwekezaji na Biashara...
  5. Vincenzo Jr

    Baba wa nyumbani!

    Ilikuwa mwaka 2011 kipindi nafanya kazi hoteli Moja pale Zanzibar Mimi na rafiki yangu aliye itwa rajabu pale hotelini mademu wa kizungu kutoka ulaya ni wengi sana sasa ndugu yangu rajabu si akampenda Binti wa kiholanzi ,Netherlands baadae wakaondoka wote kwenda uholanzi roja akazani ame yapatia...
  6. Roving Journalist

    Waziri Makamba awasili Uholanzi kwa ziara ya kikazi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Yusuf Makamba (Mb.) amewasili Jijini The Hague, Uholanzi kwa ziara ya kikazi ya siku tatu (3) kuanzia tarehe 13 - 15 Novemba 2023. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Makamba ataongoza ujumbe wa Tanzania katika Kongamano la...
  7. Jackal

    Uholanzi Yaipa Ukraine Ndege Chapa F-16 Kama Kisasi Cha Kulipiza Ndege Yake Ya Abiria Kulipuliwa Na Mawakala Wa Putin Na Kuua Abiria 196

    Ndege hiyo Chapa MH 17 iliydunguliwa na Mawakala Wa Putin miaka 9 iliyopita na Kuua abiria wa Uholanzi 196.Uholanzi Kulipiza kisasi imeipatia Ukraine Ndege za kivita Chapa F-16,ili kusaidia kupambana na vikosi vya Urusi ,vilivyovamia Ukraine.🤔 ...
  8. carnage21

    Mwanaume aliebadilisha jinsia na kuwa Miss Uholanzi

    Pichani anaitwa Rikkie Valérie Kolle Mwanaume aliebadilisha Jinsia na kuwa Mwanamke. Huyu Ndio Mshindi wa Miss Uholanzi 2023. N.B: uzi umeandikwa kimakosa ilikua kama taarifa na sio kuhamasisha transgender isues[emoji120][emoji120][emoji120]
  9. R

    Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

    By MMM Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh. Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete. cae no. ICSID No. ARB/17/33 Serikali ya...
  10. Teko Modise

    Rikkie Valerie awa mwanaume wa kwanza kuwa Miss Uholanzi 2023

    Huyu ndiye Miss Netherland kwa mwaka 2023 anaitwa Rikkie Valerie ambaye inasemekana ni mwanaume aliyejibadilisha jinsia.
  11. Mmawia

    Ndege ya Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini

    Tuliwaita mabeberu na majina ya kuwabeza lkn wao bado wanatujali. Hatimaye dege letu lililokuwa limepigwa pin huko kwa mabeberu hatimaye limefunguliwa. Asante sana wazungu kwa uwajibikaji. Kuhusu ndege kukamatwa soma Serikali yakiri Ndege yake kushikiliwa Uholanzi, sababu ni kushindwa kesi...
  12. kmbwembwe

    Ndege ya ATCL iliyokamatwa uholanzi mbona hatuambiwi chochote; au ndiyo basi tena?

    Huku nyuma awamu ya 5 kila jaribio la wale nawaita wahuni kushika ndege za ATCL ili kulipwa madeni ya mchongo na Tanzania yamekua yanashindwa na ndege zimekua zinaachiwa baada ya muda mfupi. Wakati wa awamu ya 5 tuliona pale jaribio la kushika ndege ya ATCL kule afrika ya kusini liliposhindwa...
  13. Roving Journalist

    Uholanzi yaridhishwa na Mazingira ya Biashara, Demokrasia na Utawala Bora

    Uholanzi imeoneshwa kuridhishwa na mazingira ya biashara na uwekezaji, demokrasia, haki za binadamu na utawala bora nchini. Hayo yamebainishwa na Balozi wa Uholanzi nchini, Wiebe de Boer wakati wa hafla ya kuadhimisha Siku maalum ya Mfalme wa Uholanzi iliyofanyika tarehe 25 Aprili 2023 Jijini...
  14. voicer

    Tunataka ukweli kuhusu ndege yetu Uholanzi

    CCM ni tatizo! Kuna tetesi kwamba ile ndege haijazuiwa kama tunavyosikia.Bali ni mpango mahsusi uliopangwa na unaendelea kimkakati kutaka kuiuza. Na si hiyo tu,bali kuna vigogo wamejipanga kuziuza ndege baadhi ambazo zilinunuliwa na serikali ya awamu ya Tano..kwa kugezo kwamba zinafanya kazi...
  15. chiembe

    Tundu Lissu: Niliwahi kufanya kazi katika kampuni iliyokamata ndege ya Tanzania Uholanzi. Kauli hii inakupa hisia gani?

    Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi. Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be kuna Watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa...
  16. peno hasegawa

    Ndege aina ya Airbus A220 ya (ATCL) ilifikaje nchini Uholanzi na kukamatwa?

    Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi? 1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi 2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa 3. Haikwenda kwa matengenezo ikakamatwa 4. Ndege zote kubwa zimepakiwa kisingizio injini ni mbovu Kumbe...
  17. Jamii Opportunities

    Ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Uholanzi

  18. beth

    Urusi yawafukuza Wanadiplomasia 31 kutoka Uholanzi, Ubelgiji na Austria

    Taifa hilo limewataka Wanadiplomasia 31 kutoka Nchi Tatu kuondoka siku kadhaa zijazo. Wizara ya Mambo ya Nje imeagiza Wanadiplomasia 15 wa Uholanzi kuondoka ndani ya siku 14 Agizo hilo pia limetolewa kwa Watumishi wa Ubalozi wa Ubelgiji baada ya Nchi hiyo kuwafukuza Wanadiplomasia 21 wa Urusi...
  19. FAJES

    Mambo 10 yaliyopo Ulaya, hasa hasa Sweden, pengine kwako ni mageni, na ungependa kuyafahamu

    Wakuu, heshima kwenu.! Kama ilivyo ada, JF ni kisima cha habari, stories, ucheshi na mengineyo. Ili kuifanya JF iendelee kuwa kisima cha taarifa, naomba nami leo ku-share mawili matatu kuhusu mada tajwa hapo juu. 1) Kwa muda wote niliopo huku, miaka mitatu sasa, nimesafiri na kutembea maeneo...
  20. Echazzy

    Je, wajua kufanya mapenzi hadharani inaruhusiwa Uholanzi, tena kweupe sio gizani?

    KUFANYA MAPENZI HADHARANI INA RUHUSIWA KATIKA JIJI LA AMSTERDAM katika nchi ya Uholanzi. [emoji117]Ndio unaruhusiwa kufanya mapenzi hadharani ukiwa katika jiji la Amsterdam Nchini Uholanzi ISIPOKUWA ni kwenye maeneo maalumu tu nazo ni maeneo ya bustani. Moja ya bustani maarufu nchini Uholanzi...
Back
Top Bottom