Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Bwana Wieber de Boer. Mhe Homera katika mazungumzo yake amempa Balozi Boer mambo matatu ili kusaidia katika sekta ya kilimo katika maeneo ya kilimo cha mboga mboga, matunda, chai na kahawa...