Wanajamvi, nimejaribu kufanya uchunguzi wangu nimebaini viongozi wa wanaosimamia elimu yani ma REO na ma DEO ndio chanzo cha wanafunzi kufanya vibaya kwa sababu ya utitiri wa mitihani yao wanayolazimisha ifanyike karibu kila mwezi kwa shule za msingi na sekondari na kuzitafuna siku 194...