uhujumu uchumi na rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Upelelezi wa kesi ya kuchana noti zenye thamani ya Bilioni 4.6 iliyoanza mwaka 2020, bado unaendelea

    Wakuu, Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili watu 13, wakihusishwa na uharibifu wa noti zenye thamani ya Sh4.6 bilioni, bado unaendelea. Kesi hiyo, ambayo imekuwa ikifuatiliwa kwa muda mrefu, ilitajwa leo Alhamisi, Februari 20, 2025, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Kwa...
  2. Nyendo

    Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Baada ya upande wa Mashtaka kufunga ushahidi wao na kuialika Mahakama kutoa hukumu ndogo na kisha mahakama kuwakuta watuhumiwa na kesi ya kujibu mnamo Februari 18 2022. Leo 04, Machi 2022 ni siku ya watuhumiwa kuanza kujitetea kutokana na tuhuma wanazotuhumiwa nazo. Awali Mahakama iliwakuta na...
  3. The Sheriff

    Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na wenzake - Desemba 1, 2021. Shahidi asimulia alivyowekwa chumba cha mateso gerezani. Uamuzi kusomwa Desemba 14, 2021

    Leo tarehe 1/12/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe na wenzake inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya Jumanne, tarehe 30 Novemba, 2021. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021...
  4. Replica

    Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021

    Kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea mahakamani leo Novemba 30, 2021 ======= Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji Shauri limekuja kwa ajili ya Kusikilizwa, Naomba tupatiwe Nyaraka ilikuweza Kuzikagua. Wamekabidhiwa Nyaraka na Kuanza Kukagua Moja baada ya Nyingine. Wakili wa...
  5. Nyendo

    Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe -Inspector Lugawa ISSA Maulid atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 25, 2021

    Leo tarehe 24, Nov. 2021kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea katika mahakama divisheni ya Uhujumu Uchumu na Rushwa ambapo leo Jamhuri italeta Shahidi Mwingine. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 23, 2021. Kesi yaahirishwa hadi...
  6. Nyendo

    Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

    Kesi ya inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo Ushahidi unaendelea kutolewa. Shahidi wa kwanza kwa upande wa Jamhuri ACP Kingai atamalizia Ushahidi wake. ======== Mawakili upande wa utetezi wapo katika chumba cha...
  7. Erythrocyte

    Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

    Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake watatu inaendelea tena leo , ambapo Shahidi wa tatu ambaye anajulikana kama Konstebo Msemwa ataendelea kutoa Ushahidi wake , Tukumbuke kwamba mashahidi wa Jamhuri zaidi ya 20 ni askari Polisi === Jaji ameingia.. Watu wanasimama, Kesi inatajwa...
Back
Top Bottom