Watumishi tisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, akiwamo aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Amos Kusaja na wafanyabiashara watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya...
Wakuu, Toka jana nimejiunga hiki kifurushi cha Mitandao yote SME ila cha kushangaza pesa yangu 5000 wamekata halafu kifurushi hakuna, licha ya kuniletea message za kuwa nimefakiwa kununua kifurushi hiki ila bado hakionekani na hata nikipiga simu naletewa ujumbe kuwa sina salio la kutosha...
Kuna kipindi ule upepo wa kesi za uhujumu uchumi Na utakatishaji fedha ulizidi kiwango chake , hasa kile kipindi cha mwendazake...sidhani kama ule upepo ungemuacha huyu jamaa yangu mwenye tabia za m
Kihaya😀..
Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki ni sawa na mhujumu uchumi tu.
Sasa kulikuwa na haja gani kwa hawa watu wawili kupiga makelele na...
TANESCO kwa nini mbona mnakwapua pesa za wanyonge bila huruma. Mwanzo wananchi walipiga kelele kuwa mmepandisha kodi ya jengo kutoka 15,000/= hadi 2,000/=lakini mlikuja kukanusha huku ukweli mkiujua.
Sasa hivi kuna uhuni unaofanywa wakati wa kununua umeme kuliko hapo awali. Sasa hivi karibu...
Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu.
Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa na mamlaka timu nzima ya TEHAMA Brela ningeifutilia mbali.
Makodi yenyewe yapo juu kwa uzalendo...
Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga.
Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono .
Mdoli waneupaka rangi ya Tanzania, mdoli hautembei, haujui Kiswahili wala lugha yoyote.
Waliohusika kuununua washikwe wafunguliwe...
NIPO SALAMA ndugu zangu Baada ya TUKIO la KUWATOROKA Waliojiita POLISI, Pale Landmark Hotel, Ubungo, Dar es salaam. "Kama Magaidi Wanakamatwa kwa namna ile, Nadhani kuna shida kubwa kwa Vyombo Vyetu Vya dola. NITAELEZA kwa kina but in brief
Nikiwa na Kikao Kazi Landmark Hotel,Ubungo,Walikuja...
Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu
1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi imefunguliwa, maana yake ile Transfoma imekufa mafuta yamesha chukuliwa’’
2. ‘’Mwezi wa tatu tarehe...
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP, amemfutia Kesi na kumfungulia mpya mbili za Uhujumu Uchumia aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. John Marko Pima na wenzake watatu.
Kesi hizo zimefunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha zikimkabili na wenzake watatu.
Kesi hizo zina mashtaka...
Shauri la Uhujumu Uchumi namba 2015/2024- Jamhuri dhidi ya Bw. BONIFACE YOHANA NKAKATISI- Katibu Mkuu Taifa wa CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA VIWANDA, BIASHARA-TAASISI ZA FEDHA, HUDUMA NA USHAURI (TUICO) imefunguliwa leo Januari 31, 2024 mbele ya Mh. Bittony Mwakisu (SRM) katika Mahakama ya wilaya...
Pamoja na yote maishani mwangu kitu kinaitwa udanganyifu kwenye mitihani nakichukia sana. Udanganyifu kwenye mitihani ndio mwanzo wa mla rushwa na fisadi.
Kama mtu haogopi kufanya cheating kwenye mitihani huyo mtu katu abadani hatoogopa kula rushwa, hatoogopa kufisadi fedha na mali za umma...
Tazama kwanza Mama huyu akipelekwa kwenda kutumikia kifungo Cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala miezi miwili iliyopita.
NB- tuzingatie na kutafakari pia wawindaji waliomuua mamba wamepigwa marufuku kufanya uwindaji nchini kwao.
Sasa twende kwenye tukio lilisambaa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kigoma imewaachia huru kwa masharti ya dhamana washtakiwa wa tano kati ya 11 waliokuwa wameshtakiwa kwa makosa 11 likiwemo la utakatishaji fedha Sh463.5 milioni, huku Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Igunga, Athumani Msabila na wenzake watano wakiendelea...
Tunataka Serikali ijitafakari kwa hali inavyoendelea kuhusu upatikanaji wa Umeme.
Mbeya kila siku hakuna umeme ni usumbufu tuu. Hii inakera sana, heri muache kusafiri lakini shughulikieni suala la Umeme.
Miezi sita mliyosema yatakuwa yaleyale Miaka 62 bado umeme unasumbua sana, itawezekana Kwa...
Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa.
Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote...
Sote tuanelewa kwamba nchi yetu Rais ni kila kitu kwetu, hahojiwi na mbaya zaidi huwezi kumshtaki mahakama yoyote nchini, akiwa madarakani au baada ya kuachia madaraka.
Wananchi wa nchi hii wamezoea, kwamba hawawezi kumwajibisha kiongozi huyo kwa njia yoyote ile; na Bunge ambalo sheria...
Eliud Jones Kijalo aliyekuwa Mhasibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Utalii ambaye amefunguliwa mashtaka hayo pamoja na mengine ya Kughushi, Matumizi Mabaya ya Mamlaka, Ufujaji na Ubadhirifu wa Fedha ulioisababishia hasara ya Tsh. Bilioni 4.03.
Mahakama imeelezwa kuwa kati ya Julai Mosi, 2016 na Julai...
Rais #BolaTinubu amechukua uamuzi huo dhidi ya Abdulrasheed Bawa ili kuruhusu uchunguzi kuhusu kashfa za matumizi mabaya ya madaraka na ofisi zinazomkabili zifanyiwe kazi na mamlaka zilizoteuliwa.
Ingawa ni kawaida kwa #Nigeria kumuondoa kwa muda Kiongozi wa Tume hiyo kila utawala mpya...