Kwenye siasa wanasiasa huibua misemo ambayo mingine huja kuwa sehemu ya Lugha husika.
Mchungaji Christopher Mtikila alileta misemo ya "Gabacholi" na "mlalahoi" na la mlalahoi linatumika mpaka Sasa.
Mwalimu Julius Nyerere alileta kwenye lugha ya kiswahili msemo wa "kung'atuka" na "tapeli" na...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu...
bandari
chura kiziwi
freedom of expression
makosa
matusi kwa rais
rais samia
samia chura kiziwi
siasa tanzania
uhurukukosoaserikaliuhuru wa kutoa maoni
uwajibikaji
uwajibikaji serikalini
wageni