uhuru wa kidigitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii nchini

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
  2. Mtangazaji wa Wasafi FM, Gerald Hando ataka mtandao wa TIkTok ufungiwe Tanzania

    Mtangazaji wa kipindi cha Goodmoring cha Wasafi FM Gerald Hando ametaka au kushauri mtandao wa TikTok Tanzania ufungiwe akidai unaleta matatizo ya afya ya akili kwa vijana wengi zaidi. Amesema vijana sasa wakilala wakiamka wanawaza wapata bando ili waingie TikTok wafanye mambo yao na akikosa...
  3. Uhuru wa Kidigitali haupaswi kuwa tishio kwa Serikali bali nyenzo ya kuimarisha uhusiano wake na Wananchi

    Uhuru wa Kidigitali ni muhimu sana kwa utawala bora katika karne hii ya 21. Teknolojia ya kidigitali inatoa fursa nyingi kwa watu kuwasiliana, kushirikiana na kushiriki katika masuala yanayohusu nchi yao. Kwa mfano, serikali inaweza kutumia mifumo ya kidigitali kuboresha upatikanaji wa huduma za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…