uhuru wa kifedha

  1. Mwakawasila

    Usijizuie kuelewa hatifungani/bond za Serikali

    HATIFUNGANI/BOND/AMANA Ni aina ya dhamana inayotolewa na serikali au kampuni kwa lengo la kukopa fedha. Mkopaji anaweza kuwa serikali au kampuni na anaekopesha ni mwekezaji. Mwekezaji anaponunua hatifungani, anaikopesha serikali au kampuni fedha yake kwa kipindi flani cha makubaliano...
  2. Makirita Amani

    Hatua Za Kujijengea Uhuru Wa Kifedha

    Rafiki yangu mpendwa, Watu wengi wamekuwa wanasumbuka na fedha kwa maisha yao yote. Tangu wanaingia kwenye umri wa kufanya kazi, wanafanya kazi kila siku na kwa maisha yao yote. Lakini kwa bahati mbaya sana, bado wanakuwa hawafikii hatua ya kuweza kuishi aina ya maisha wanayokuwa...
  3. Mwl.RCT

    Uhuru wa Kifedha: Jenga vyanzo mbalimbali vya mapato

    Ni muhimu kuelewa kwamba kutegemea kipato kimoja pekee hakuwezi kukupa uhuru wa kifedha. Ni muhimu kujenga vyanzo vya mapato mbalimbali ili kuweza kuwa na uhakika wa maisha yako ya baadaye. Kuna njia mbalimbali za kupata mapato mengine, kama vile kuanzisha biashara yako, kuwekeza katika miradi...
  4. K

    SoC02 Uhuru wa kifedha. Hatua ianze sasa

    Uhuru wa kifedha ni jambo la kufikirika kwa watanzania wengi na takwimu pia zinaonyesha ni asilimia ndogo sana yawatanzania walio na uhuru wa kifedha basi bila ata kufika mbali ata usalama wa kifedha nalo si jambo la kawaida. Usalama wakifedha ni hali ya kutokuwa na wasiwasi wa fedha kwani una...
  5. T

    SoC02 Unavyoweza kutumia mshahara wako kujikwamua kimaisha

    Wapo watu wanaowakejeli waajiriwa wanadai eti kama "Mtu asiye na Elimu anaweza kuosha Magari mtaani na akaweza kukuza kipato” kuna sababu gani ya kuishi Maisha magumu Kazini au Ofisini ? Upo Ukweli wa namna Fulani katika kauli hii kwakua wafanyakazi wengi wanaishi Maisha ya Ukata, kazi yao...
  6. josephdeo

    Kanuni muhimu kwenye kuutafuta uhuru wa kifedha

    Kitabu changu cha mwisho kusoma mwaka 2021 ni THE RICHEST MAN IN BABYLON. Ukizungumzia kati ya dola kubwa za kale babeli ni moja wapo kati ya hizo ambazo zitakuwa kwenye list. Hivyo muandishi alitaka tuelewe ni kanuni zipi ambazo zinaweza kukusaidia wewe kuufikia uhuru wa kifedha. Hapa tutaweka...
  7. L

    Kuwekeza, Kutunza pesa, Uhuru wa kifedha

    Personal Fınance, Hili ni somo muhimu sana ambalo kila mwanadamu angeweza kuliishi basi tungekua tumefanikiwa kuwa na uhuru wa kifedha kwa asilimia kubwa sana. Personal Finance ni uwezo wa mwanadamu kutenga pesa kwaajili ya matumizi yake ya sasa na ya baadae. Tunashauri mtu afate njia ya...
  8. Kaaya10

    Uhuru wa kifedha makala ya tatu

    Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea. Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako. Kuna namna mbalimbali za kupata mtaji zikiwepo;- • Akiba • Mtaji kutoka kwa marafiki na wazazi • Mikopo kutoka taasisi za...
  9. Kaaya10

    Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato na matumizi tu bali ni uhuru mpana wa kufanya kila jambo ambalo ungependelea kufanya bila kukwama

    Uhuru wa kifedha ni ule uhuru wa kufanya mambo kama upendavyo au kutekeleza mahitaji yako yote kama upendavyo. Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato na matumizi tu bali ni uhuru mpana wa kufanya kila jambo ambalo ungependelea kufanya bila kukwama. Ili uweze kufikia uhuru wa kifedha...
  10. Makirita Amani

    Mambo Haya Kumi (10) Usiyojua Kuhusu Fedha Ndiyo Yanakufanya Uendelee Kuwa Masikini.

    Rafiki yangu mpendwa, Tangu tunazaliwa mpaka tunakuwa watu wazima, kuna vitu vingi sana ambavyo tunafundishwa kwenye familia, kwenye jamii, shuleni na hata kwenye kazi au biashara. Tunafundishwa jinsi ya kwenda vizuri na watu wengine, jinsi ya kufanya kazi au biashara zetu na umuhimu wa...
Back
Top Bottom