uhuru wa kupata taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Live on TBC Mizani: Deodatus Balile, Salome Kitomari na Mhadhiri Dr. Mkoko wakichambua Media ya Tanzania

    Watch live, kipindi cha Mizani on TBC M/Kiti wa TEF - Deodatus Bslile, M/Kiti MISA Tan - Salome Kitomari, na Mhadhiri SJMC - Dr. Mkoko wakichambua Media ya Tanzania. https://www.youtube.com/live/tmV6-5pXEQw?si=DxANnu0qNajL6iLf Karibu. Paskali
  2. Erythrocyte

    Tido Mhando: Awamu ya Hayati Magufuli imechangia 'Comedy Journalism'

    Hii ni miongoni mwa Kauli alizotoa Mwenyekiti wa Kamati ya kuchunguza Dhiki au Matatizo ya uchumi yanavyovikabili vyombo vya habari nchini Tanzania , Tido Muhando. Mhando ameyasema hayo alipotoa hotuba yake kwenye kongamano la Maendeleo ya sekta ya habari linaloendelea Dar es Salaam Ni nini...
  3. Replica

    Waziri Nape akiri kufuatilia mijadala inayoendelea kuhusu mtandao wa X kufungiwa, asema TCRA itatimiza wajibu kuhakikisha watoto wanakuwa salama

    Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye amesema wanaona mijadala yote inayoendelea (kuhusu maoni ya kama mtandao wa X ufungiwe au laah) na kusema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), itatimiza wajibu wake wa kuhakikisha Tanzania na hususani kizazi cha Watoto kipo...
  4. Cute Wife

    Pre GE2025 CCM na Serikali tuambieni ukweli, kelele za kutaka X(Twitter) ifungiwe ni maandalizi ya kuzima mitandao kipindi cha uchaguzi

    Wakuu, CCM hivi hamuoni vibaya? Mpaka sasa Club House haipatikani halafu tena hao kunyanyua midomo eti mnataka kufungua X(Twitter) kwa kisingizio eti inahamasisha maudhui ya Ushoga! Huu ni mtandao pekee ambako kuna maudhui ya ngono nchini? Kuna Instagram, Tiktok, Facebook, huku hakuna...
  5. Nyendo

    Pre GE2025 UVCCM waitaka Serikali kuifungia X (zamani Tittwer)

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imeitaka serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha inaufungia mtandao wa 'X' zamani ukijulikana kama 'tweeter' kwa kuwa mtandao huo kutangaza dhamira ya kuruhusu kupokea maudhui yanayokinzana mila...
  6. P

    Tuma kwa namba hii wamewatoa knock-out mpaka sasa, mmeona la msingi ni kuzuia VPN?

    Wakuu, Inasikitisha sana na kutia uchungu kuwa na Waziri mzigo kwenye wizara muhimu kama hii. Badala ya kuwa vinara wa kutetea uhuru wa maoni na kukinda taarifa binafsi na faragha za wananchi wenyewe ndio wanakuwa wa kwanza kuminya uhuru wa maoni, kuingilia faragha za watu na kutunga sheria...
  7. Miss Zomboko

    Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa kupata Taarifa

    Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Kupata Taarifani siku inayotumiwa kutambua na kusisitiza umuhimu wa haki ya umma kupata habari na taarifa kutoka kwa serikali na taasisi zingine Inaadhimishwa kila mwaka tarehe 28 Septemba na inalenga kuhamasisha uwazi, uwajibikaji, na uwazi katika serikali na...
Back
Top Bottom