uhuru wa maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

    Wakuu, Kama alivyotuahidi jana, siku ya leo Mwanaharakati nguli Afrika Mashariki, Maria Sarungi atazungumza kinaga ubaga kuhusu namna alivyotekwa mpaka kupatikana kwake. Bado haijaeleweka hadi sasa kama atazungumza kwa kujirekodi video kueleza nini hasa kilitokea, atatengeneza thread ya...
  2. Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake. Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi
  3. Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

    TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia. Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi...
  4. Tusijisahaulishe hii nchi ni yetu sote

    Kuna namna ambayo inashangaza kadiri siku zinazovosonga mbele,kwa wafuatiliaji wa mambo tunaona namna ambavyo baadhi yetu(watanzania) waliokatika nafasi mbalimbali wanasahau kuwa wao ni sehemu ya jamii na lolote linalowasibu wanajamii kwa namna yoyote ile litawagusa kwa namna moja ama nyingine...
  5. Pre GE2025 Mnaolia leo katika Awamu ya Hayati Magufuli mlimsema sana kuwa anawapiga na kuwatesa na kumtetea wa sasa, ila naye leo kawageuka!

    Kwanini sijaumia kwa Taarifa nilizosikia sababu ni kwamba hawa hawa wanaolia leo na kulalamika wakiwa Matibabuni Hoi ndiyo walikuwa wakimsema Hayati Magufuli na wa sasa alipoingia wakawa wanampamba kwa gharama za Kumtukana na Kumdhalilisha Hayati Magufuli. Pia soma: Thread 'CHADEMA: Tutafungua...
  6. Pre GE2025 Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao 520 na kuwaachia huru baadhi yao kwa dhamana. Pia limesema ambao hawakuachiwa ni wale walioshindwa kukidhi masharti ya dhamana au kuwa na makosa zaidi...
  7. Bora nikae kimya milele kuliko kupigania haki ya Watanzania!

    Katika ujinga ambao sitokuja kuufanya ni kuchongoa mdomo wangu eti kupigania haki ya watanzania wenzangu. Yaani mimi nimpiganie haki mwenzangu halafu nife yeye abaki anakula raha. Pia soma: SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na...
  8. W

    Waandishi wa Habari Waandamana Kenya, wapeleka maombi yao Makao Makuu ya Polisi NPS

    Waandishi wa Habari wameandamana jijini Nairobi kwa ajili ya kulaani mashambulizi ya Wanaoripoti Habari kuhusu Maandamano na vitisho kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari kutoka kwa Polisi Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya Katika taarifa iliyotolewa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kenya...
  9. Ahukumiwa jela miaka 6 kwa kumtukana Rais Museveni

    Mahakama moja iliyopo Entebbe Nchini Uganda imemuhukumu kifungo cha miaka sita jela TikToker mwenye umri wa miaka 24, Edward Awebwa baada ya Kijana huyo kuchapisha video fupi kwenye akaunti yake ya TikTok akimtusi na kumkashfu Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Mke wa Rais, Janet Museveni, na Mtoto...
  10. Serikali yakanusha kukamatwa kwa Mwandishi Dickson Ng'hily na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, yasema mwandishi hakupigwa wala kuvunjiwa simu yake

    Wakuu, Haya maelezo yanatishia mashaka, kwamba wanafunzi hawakai chini ila walikuwa wanafanya masahihisho ya mitihani, tena chini ya mti, kama vyumba vinawatosha kwanini wasifanyie hayo darasani? Hapa panatia mashaka. Ila pia mnataka kutuambia kuwa THRDC walikurupuka, kwamba hawakuwa na...
  11. Shadrack Chaula, aliyechoma picha ya Rais Samia aachiwa kutoka Gerezani

    Hatimaye kijana Shadrack Yusuph Chaula (24) mkazi wa kijiji cha Ntokela kata ya Ndanto Tukuyu wilayani Rungwe, ameachiwa huru kutoka mikononi mwa jeshi la magereza baada ya kufanikiwa kulipa faini ya shilingi million tano kutokana na hatia aliyokutwa nayo ya udanganyifu juma lililopita. Kijana...
  12. B

    Jaji Warioba: Viongozi na wanahabari acheni uchawa mnaumiza wananchi

    Akizungumza mbele ya Media Council of Tanzania, waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Ninatazama bunge la Dodoma, imekuwa fasheni kila mbunge kuanza mchango wake wa hoja kwa kutaja na kumsifia rais. Vyombo vya habari kwa nyakati ya sasa hivi badala ya kutoa habari vimegeuka kuwa...
  13. Hivi ndivyo Mtandao wa X unavyowanusuru wahanga wa unyama wa watala wa CCM

    Wanaharakati na marafiki wa kijana Japhet Matarra, anayetumikia kifungo cha miaka mitano gerezani kwa makosa ya mtandao kupitia mtandao wa X, wamechangisha Sh8.5 milioni kwa ajili kumtoa gerezani kijana huyo. Matarra alihukumiwa Juni 2023 na Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Moshi, mkoani...
  14. Suala la Sativa Watanzania wema tuungane kuokoa maisha yake

    Kama ilivyokuwa kwa Lissu, Sativa kupitia mtandao wa X amekuwa mkosoaji mkubwa wa watawala. Mashetani, kama ilivyokuwa kwa Lisu, wakaona kumwua Sativa ndiyo suluhisho la wao kutokuendelea kukosolewa wanapofanya uovo wao. Kama ilivyokuwa kwa Lissu, Mungu kwa namna ya ajabu akamweka hai mpaka...
  15. Alichosimulia Edgar Mwakabela "Sativa" kuhusu waliomteka na kumpiga Risasi ya Kichwa

    KUTEKWA, KUPOTEA, KUTESWA, KUPATIKANA KWA SATIVA Edga Mwakabela (Sativa225) Maelezo yote yametoka katika kinywa cha Edgar Edson Mwakabela (Sativa255) ambaye alitekwa jumapili 23.06.2024 Darces Salaam na kupatikana 27.06.2024 Katavi. Shughuli inaanza siku ya Jumapili, 23.06.2024, maeneo ya...
  16. J

    Wakili Matata: Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi wako Hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya Sativa!

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi Wakili msomi Dickson Matata amesema uongozi wa CHADEMA Kanda na Mkoa ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mh. Masanja huko hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya afya ya Mwakalebela au Sativa ambaye yuko ICU. Matata ametoa Taarifa ukurasani X =====...
  17. U

    Unaionaje Gen Z ya Tanzania?

    Maana ya Gen Z. Kwa mujibu vyanzo vya mtandaoni, Gen Z ni vijana waliozaliwa kuanzia mwishoni mwa miaka 1990. Pia wanafahamika kama kizazi cha kidijitali kwa sababu walizaliwa wakati mtandao ndio umeanza kuchipukia. Hiki ndicho kizazi kinachosadikika kukuza mtandao ndio maana kimepewa jina Gen...
  18. Pre GE2025 Hii kali: Rais Samia awaagiza JUMIKITA 'kuchuja' maudhui ya mtandaoni tena katika Kongamano la Sekta ya Habari!

    Jumikita kwa wale msiyojua kirefu chake ni Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii, wanawakilisha wanahabari wote wa mtandaoni nchini. Rais Samia anawasifia na kuwaambia mwende mkachuje yanayosemwa mtandaoni watu waseime wanayoyataka na nyie mnakenua na kuinama kuonesha mnashukuru na...
  19. P

    Tuma kwa namba hii wamewatoa knock-out mpaka sasa, mmeona la msingi ni kuzuia VPN?

    Wakuu, Inasikitisha sana na kutia uchungu kuwa na Waziri mzigo kwenye wizara muhimu kama hii. Badala ya kuwa vinara wa kutetea uhuru wa maoni na kukinda taarifa binafsi na faragha za wananchi wenyewe ndio wanakuwa wa kwanza kuminya uhuru wa maoni, kuingilia faragha za watu na kutunga sheria...
  20. Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

    Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi. Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni uvunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…