Ndugai alikuwa Spika wa kwanza kujiuzulu kama sijakosea, na alijiuzulu baada ya kuongea kitu kuhusu nchi kuuzwa kwa sababu ya madeni, nilipata wasiwasi kwamba kama upo chama kimoja na Rais basi huruhusiwi kuwa na maoni tofauti,niliona kuminywa kwa Uhuru wa maoni.