uhuru wa uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Wassira aihakikishia Marekani uchaguzi kuwa huru na haki

    WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani. Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae...
  2. LGE2024 Tundu Lissu: Uchaguzi huu umeisha na sasa tujipange upya na turudi kwenye hoja za msingi ikiwemo Katiba Mpya na Mfumo huru wa uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu amesema katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu 2024 umekishwa kikubwaa watapigania wagombea waliobaki tu lakini huu kifupi umekwisha. Aidha amesema sasa na wanapaswa kujipanga upya na kurudi na hoja za msingi kama Katiba mpya, Mfumo uhuru...
  3. Kama kweli Raisi Samia kaingilia Uchaguzi wa Tanganyika Law Society, itakuwa ni hujuma na ukatili wa hali ya Juu

    Salaam Wakuu, Mwezi wa nane chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) wanafanya Uchaguzi wa kumchagua raisi wao na Viongozi wengine. Kitu ambacho kimewashangaza wengi, ni kukatwa kwa jina la Wakili Mwabukusi asigombee Urais wa TLS kwasababu eti anawavunjia heshima Viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…