uhuru

  1. Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023

    VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
  2. Mary Chatanda athibitisha maneno ya bibi Titi kuwa wanaume ni waoga kwenye kupambania Uhuru, Haki na Demokrasia

    Mwenyekiti wa UWT Taifa amesema hayo alipokjwa anatoa salaam za UWT kumkaribisha rais wa JMT mama Samia kuzungumza na wanawake na Taifa leo katika uwanja wa Uhuru CDE Mary Chitanda amesema kwa kunukuu ukurasa wa 52 wa kitabu cha Bibi Titi Mohammed ambaye aliandika kuhusu nafasi na ushiriki wa...
  3. Miaka 60 ya uhuru bado nchi ni masikini

    Habari za humu wanajamvi? Naamini mko vizr. Moja kwa moja naenda kwenye mada. Zaidi ya Hivi miaka 60 ya uhuru bado tz ni iko na umaskini Hakuna maji safi. Hakuna education nzuri. Hakuna viwanda kwa kiwango cha kuuza nje ya nchi Kiujumla hakuna tulichomudu kwa miaka 60 cha kuweza kutembea...
  4. Uhuru wa Kifedha: Jenga vyanzo mbalimbali vya mapato

    Ni muhimu kuelewa kwamba kutegemea kipato kimoja pekee hakuwezi kukupa uhuru wa kifedha. Ni muhimu kujenga vyanzo vya mapato mbalimbali ili kuweza kuwa na uhakika wa maisha yako ya baadaye. Kuna njia mbalimbali za kupata mapato mengine, kama vile kuanzisha biashara yako, kuwekeza katika miradi...
  5. Wanawake na Uhuru

    WANAWAKE NA UHURU Anaandika, Robert Heriel Nianze Kwa kuwapongeza Wanawake wote Duniani katika siku yenu hii. Ninyi ni Watu muhimu Sana ndani ya jamii. Na ili umuhimu wenu uwepo ni lazima muwe Huru. Na hicho ndicho leo ninaenda kukieleza Kwa UFUPI. Mara Kwa mara nimekuwa nikionekana...
  6. Mitandao ya Kijamii na Uhuru wa Matumizi Yake Sahihi ni Huduma Muhimu kwa Wengi

    Mitandao ya kijamii imerahisisha sana uwepo wa majadiliano ya mtandaoni kuhusu masuala yoyote yanayoigusa jamii husika. Mitandao imekuwa ni uwanja wa kutafuta suluhu za matatizo ambayo jamii inakumbana nayo, lakini pia imekuwa kijiwe ambapo watu hubadilishana mawazo na pengine kupeana mbinu...
  7. Uhuru ni nadharia iliyokuwepo

    Uhuru ni hali ya kutofungamana na kitu chochote pamoja kufanya maamuzi yanayoweza kukupa furaha na amani. Dhana potovu ya uhuru imekuwapo kwa muda mrefu huku tukiendelea kukaririshwa kuwa binadamu yupo huru na anahitaji uhuru au nchi ipo huru lakini nadharia hizi ni za uongo na zakupingwa...
  8. Furahia Uhuru ulionao sasa, ni zawadi kubwa sana maishani mwako

    Nilikuwa sina mpango hata wa kuandika Hii thread lakini naiandika kwa ufupi sana baada ya kupita instagram na kukutana na clip hatari za wahuni wakiwa wanahamishwa gereza huko El salvador Kuhamishwa kwao,mikao yao yani imenikumbusha Moment hatari sana nilizowahi pitia miaka ya zamani hiyo Gusa...
  9. J

    Morogoro Rais Samia apeleka TZS 7BL Kilosa kwaajili ya Ujenzi wa Daraja la Barega lililokwama tangu Uhuru

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe Shaka Hamdu Shaka akimshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa niaba ya Wananchi Wa Kilosa kwa kuwapatia daraja, BILIONI 7 ZA DKT SAMIA SULUHU HASSAN KUTUMIKA UJENZI WA DARAJA LA BEREGA, KILOSA MKOANI MOROGORO === Wananchi wa Berega, wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro...
  10. Hivi uhuru ni nini?

    Wanajukwaa naomba kufahamu juu ya uhuru wa mtu au wakitu. Uhuru ni nini maana kuna watu tunashindwa kuelewena kati ya kijana aliyejiajiri na kijana aliyeajiliwa . 📌 unaweza ukawa unaingiza kiwango kikubwa cha pesa kutoka kwa kazi yako ila hauko na uhuru... sawa unapata hela ila hiyo hela Hata...
  11. Wanawake jiinueni kiuchumi, ndio uhuru wenu

    Kama hauna au hauko vizuri kiuchumi utumwa unakunyemelea katika muktadha wowote ule. Ndiposa nakuja na ushauri huu kwa jinsi ya ke kuwa wajitahidi kujiimarisha kiuchumi na kutokuwa tegemezi katika jinsi ya Me ili waondokane na utumwa katika mahusiano na katika Ndoa. Yapo mawazo mgando kuwa...
  12. Nape, Marekebisho ya herufi yanaongezaje uhuru wa habari nchini?

    Nimemsikia Waziri Nape akisema serikali italinda uhuru wa kujieleza (Serikali italinda uhuru wa kujieleza). Maneno haya yametokana na serikali kuwasilisha Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari tarehe 10 Februari 2023 bungeni Je, ni kweli yanalenga kuimarisha uhuru wa kujieleza nchini...
  13. J

    Tanzania tulipigania Uhuru ili tujitawale Kifikra na Kujitegemea au kumuondoa tu Mtawala mweupe?

    Kuna wakati dhana nzima ya Nchi kuwa Huru inachanganya sana. Hivi Watanzania tulidai Uhuru tukiwa na malengo gani hasa mahsusi. Chukulia mfano wa Tundu Lisu na Lema hawa ni Viongozi wakubwa wa Chadema lakini familia zao zinaishi Marekani na Canada. Hata CCM ina Watu wengi wa namna hiyo mfano...
  14. B

    Mbichi na mbivu za uhuru wa shughuli za Kisiasa

    Kuanza kwa shughuli za kisiasa kumekuja na yake. Tayari mwelekeo uko wazi. Mikutano ya CCM, Chadema na CUF imesikika na mwenye macho kaona. Hayapo mashaka tena kuwa Chadema haina cha kufanya na ushoga wala kwamba upo mtafaruku wowote wa kimadaraka chamani. "Chadema inataka katiba mpya, sasa."...
  15. Ndoa za Kulazimishwa Zinawanyima Watu Uhuru na Kuathiri Ushiriki Wao Kamili Katika Jamii

    Ndoa ya kulazimishwa ni hali ambapo mtu amelazimishwa kuoa au kuolewa bila hiari yake. Ndoa ya kulazimishwa inaweza kutokea kwa shinikizo la kihisia, kifedha, kwa matumizi ya nguvu au vitisho, kwa kurubuniwa na wanafamilia, mwenzi, au wengine. Ndoa hizi zimepigwa marufuku na mikataba kadhaa ya...
  16. Upatikanaji Uhuru wa Habari hainufaishi vyombo vya Habari tu, ni kwa manufaa ya Taifa

    ZANZIBAR WADAU wa habari Zanzibar wamesema ipo haja ya kufanyia marekebisho sheria ambazo zinakinzana na upatikanaji wa habari na uhuru wa vyombo vya habari ili kuchochea uwajibikaji na upatikanaji wa taarifa kwa lengo la kuleta maendeleo katika jamii. Wameeleza kwamba suala la upatikanaji wa...
  17. Wape watoto wako majina mawili ili wajue maana halisi ya uhuru

    Tunazaliwa, tunakuta baba anatuita fulani, mama naye. Kaka pia anatuita hivyo, na dada na ndugu zetu! Kiukweli jamii nzima tumekuta inatuita tu fulanii fulanii. Wapi tulikaa kikao, ni lini tulikubaliana kwamba jina langu, kitu muhimu ninachomiliki na kunitambulisha popote liwe ni hili na sio...
  18. Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na Washirika wake kuchunguzwa juu ya Ukwepaji Kodi

    Serikali ya Rais William Ruto inadaiwa kuanza uchunguzi wa Kampuni takriban 300 zinazohusishwa na kutolipa Kodi, baadhi yake zikimilikiwa na watu waliowahi kuwa na Mamlaka katika Serikali zilizopita. Waziri wa Fedha, Njuguna Ndung’u na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kodi (KRA), Anthony Ng’ang’a...
  19. Rais mstaafu Uhuru Kenyatta akalia kuti kavu, Watendaji wake kukaguliwa ukwepaji kodi

    The Star Newspaper Front page tomorrow February 1st, 2023.......... Waandani wa Rais William Ruto wataka makampuni ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kufanyiwa ukaguzi wa Kodi. Aidha wamedai kuwa familia ya Kenyatta imekwepa kulipa kodi kwa muda mrefu sasa.
  20. A

    Miaka 62 baada ya kupata uhuru: Ni faida gani tuliyoipata kwa kuwa huru?

    Ni miaka 62 imepita baada ya Tanzania kupata uhuru kamili. Lakini ukiniuliza ni faida gani tumepata kwa kuwa huru, sina jibu. 1.Hatuna uhuru wa kisiasa. Siasa yetu bado inasimamiwa na mabeberu e.g. swala la vyama vingi, demokrasia, etc 2. Hatuna uhuru wa uchumi. Uchumi wetu bado upo mikononi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…