Leo ni siku muhimu sana katika historia ya Tanzania siku ambayo watawala wamewapa watawaliwa Uhuru wa kupaza sauti zao, mkoloni wa kiingereza hakuwahi kuwafunga midomo watanganyika kupaza sauti zao kudai Uhuru, waliodai Uhuru hawakufanywa lolote kwani ilikuwa ni haki ya watanganyika kudai Uhuru...