Rais wa Marekani Donald Trump amesema anataka Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amuombe radhi hadharani ndipo atakubali kurudisha upya uhusiano kati ya Marekani na Ukraine baada ya Viongozi hao wawili juzi kuzozana mbele ya Waandishi wa Habari katika Ikulu ya Marekani (White House) kitendo...
Siku kiongozi KUTOKA hapa Tz akaenda UAS kusaini mkataba wowote wenye Maslai kati ya Tz na Us inabidi awe makini sana maana viongozi wa USA na wapo makini sana na watanguliza utaifa mbele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.