Wakuu,
Kuna binti kijiji jirani toka nilipo mimi,nilimpenda sana nae akanipenda sana,
Ilifikia hatua nikamnunulia simu, tukawa tunawasiliana, mapenzi yakakolea wakuu,binti kila anaekuja kuchumbia anamkataa,mpaka wazazi wake wakakaa nae kitako, wakamuuliza kama unakataa kuolewa je unataka uolewe...