RAIS MWINYI: ZANZIBAR NA COMORO KUENDELEZA UHUSIANO WA KIBIASHARA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika wakurejesha diplomasia ya Uchumi na kuendeleza biashara baina ya Zanzibar na Comoro kwa maslahi ya pande zote mbili.
Rais Dk...