Hakunaga mwanamke anaecheat kwa bahati mbaya wote huwa wamedhamiria,thus ukimsamehe ataendelea tu kucheat kwa sababu wao utanguliza nyege mbele akili nyuma,wakishachika ukimbilia kwa mwamposa kukanyaga mafuta ya urejesho wa mume.
Kama mwanaume, ukimkamata mke wako akiwa na uhusiano wa kimapenzi...
Habari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko 🙏, nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka baadhi ya maeneo na vitongoji vyake, ukweli usemwe watoto wa kike kutoka tanga wameumbika kweli kweli:-...
Wadau naomba msaada wenu.
Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia.
Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema...
Wakubwa mimi BabaMorgan bado ni mdogo kiumri na kifkra naomba kujuzwa na ninyi wakubwa zangu, imekaaje kumtafutia mke wako dereva wa kumuendesha, tena kwenye gari ambayo ni full tinted?
Kwa mtazamo wangu ni kuyatafuta matatizo.
Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili,
Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
Wadau, habari zenu.
Ni mtumishi serikalini. Ofisini kwetu kuna mrembo mmoja (nikisema mrembo, ninamaanisha mrembo). Huyu dada kwa takribani miaka 4 tuliyohudumu nae hapa kazini, amekuwa akipa heshima ya kaka na mimi nikimuona kama dada yangu mdogo.
Sasa kisanga kikaanza, siku moja tukiwa...
Natafuta mchumba kike awe tajiri.
Sifa zangu;
1. Mimi ni black kidogo.
2. Elimu yangu certificate ya Tehama.
3. Kazi yangu ya Wakala (usajili wa sim cards) wa Airtel, Vodacom Tanzania, Halotel Tanzania, Ttcl Tanzania na Tigo Tanzania.
Sifa zake huyo msichana;
1. Awe tajiri Boss lady.
2. Umri...
Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije moja kwa moja kwenye mada.
Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi, kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei...
Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani.
Mwanamke hawezi kutangaza mwanaume masikini hata kama unampenda kiasi gani, ukiwa mkata nyasi wewe...
Habari zenu humu, kwanza tambua ukubwa jalala na kijiji bila wazee ni Jahanam.
Week hii ndugu zangu nimeenda kumpiga X-Ray my future wife pamoja na ukoo wake kwa nia tu nzuri, ili tu tujue account ya nani ipo juu. Baada ya X Ray kutoa majibu account yangu ipo juu kuliko ya my future wife kwa...
Ndugu zangu wakati huu nahitajika nitoe majibu kwa kijana wangu, anapitia wakati mgumu.
Ana mpenzi wake anampenda kwa dhati, wamebarikiwa kupata mtoto. Tatizo lilipo sasa, anashindwa kufanya mapenzi na huyu binti maana yupo kipindi cha kunyonyesha.
Binti anahitaji mapenzi ila kijana...
Naitwa zaza, nina Miaka 23, nina makazi Mbeya, natafuta mke wa kuishi naye uchumba hadi ndoa. Umri asizidi miaka 25, hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Awe mkristo vinginevyo awe tayari kubadili dini. Seriously upweke nimechoka.
Karibu inbox...
Wakurungwa niaje niaje, leo ni siku ya kwanza baada ya ile siku muiitayo ya wapendao, mengi yametokea mazuri kwa mabaya. Ila mazuri yaliyotokea hayazidi mabaya yaliyo tokea, mabaya ni makubwa sana ambayo hayafai katika ulimwengu huu na hata ulimwengu usio kuwepo.
Jana nimeona watu wakitoka na...
Ukiwa na mwanamke asiyejiamini atataka umpigie na kumtext kila muda ili ajisikie kupendwa na aone unamjali. Mara nyingi wanawake ambao hawakupata upendo mzuri wakiwa wadogo hufanya hivo, kila muda wanataka wapetiwe wajisikie wanapendwa.
Pia ukiona mwanamke anakukera kwa kutaka muda wote...
Hiki ni kitendo rahisi sana cha kunasa hisia za mwanamke yeyote yule na kuchukua moyo wake pasipo yeye kujua.
"Mpigie simu mara kwa mara kama sehemu ya kumjulia hali tu uone kama hatajaa mwenyewe."
Hii mara nyingi huwa inafanya kazi kama mwanamke atakuwa single au yupo kwenye mahusiano...
Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.
Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.
~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.
~ Awe na kazi.
~Na awe mkazi wa Dar es...
Nina miaka 40+, elimu Shahada ya miaka 15 iliyopita. Nina shughuli zangu binafsi, naishi DSM, na wakati mwingine husafiri kwenye shughuli zangu za kikazi.
Nahitaji mwenzi ambaye kadri tutakavyofahamiana ndivyo tutajua kama tunaweza kuwa wachumba au laah. Kwa maana tunahitaji kuamua kwa pamoja...
Wapendwa habari zenu.
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33, ni mwajiriwa wa sekta binafsi mkoani Rukwa. Mimi ni mkristo na Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu nikiwa nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu. Awe mkristo mwenye umri kuanzia miaka 33-49, mwenye kipato halali, awe na utayari wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.