Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametegua kitendawili cha nini kilimpata baada ya kukamatwa Septemba 10, 2023 huku Polisi wakimtaka kuripoti baada ya mwezi mmoja.
Lissu, walinzi wake na baadhi ya viongozi wa chama hicho walikamatwa Septemba 11, 2023...