Ukiwa na dingi mkali au mbabe, huyu lazima umdanganye, hakuna namna
Ili umnase demu lazima utupie uongo
Walimu wanoko, dawa yao uongo tu.
Hata kanisani wengi ni waongo na wanafiki, nyuma wameficha ukweli mchungu
Na sehemu nyingi, uongo haukwepeki
Uongo ni sehemu ya maisha yetu. Ukweli...