uislam vs ukristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

    Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…