Mchezo wa kabumbu, ujulikanao kama Mpira wa miguu, kwa kimombo Soccer au Football. Ni miongoni mwa michezo pendwa Duniani, na ni mchezo unaoshika nafasi ya kwanza duniani kwa kutizamwa na kufatilia. Kwa hapa Tanzania mpira wa miguu umekuwa una vipindi maalumu vya uchambuzi kwenye Radio na TV...