Mkasa ni wa kweli kabisa
Mnamo mwaka 2024 mwezi 7 niliapata kujuana na bint tumuite rose alikua muuza duka la nguo mimi nikiwa msimamizi wa eneo hilo lote.
Huyu bint rose ni bint wa kinyakyusa huko kwao TUKUYU, mfupi mweusi ana kwa mwanya fulani amaizing ni mcheshi sana
Basi siku moja...
Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake??
Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yao na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu.
Juzi hapa...
Ushauri wa bure, ujana wako utumie kwa adabu zote usiwe na muda wa kupoteza kwa mambo yasiyokuwa na faida ,
Tengeneza familia yako weka kipaumbele maendeleo yako ya kiuchumi , starehe na makundi ya kiurafiki yasiyo na faida yanaweza yakawa kikwazo cha maendeleo yako.
Dunia haimthamini maskini.
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Mwamba apewe Maua yake tu,apewe heshima yake tu.Atambulike na watu wote angali hai kuwa ndiye Mwamba aliyetumia ujana wake wote Kuitesekea na kuijenga CHADEMA kwa jasho na Machozi.Ametumia Muda wake wote kwa ajili ya chama.
Inasikitisha sana unapoona Mwana CHADEMA...
Kuna misemo mingi katika jamii ikihamasisha wanandoa waishi tu kwa kuaminiana, watu wasichunguzane ili ndoa zao zidumu muda mwingi. Kama kuna kirusi kimeingia katika ndoa kupitia mke wako ukichelewa kukijua na kukiondoa mapema umekwisha. Wanawake nawajua vyema, ni waelewa na wanakanyika lakini...
😆
Just imagine sasa hivi umri ulionao mwaka 2070 utakuwa na miaka mingapi?
Kizazi cha 1990 mpaka 1999 ndio watakuwa wazee wa busara 😀
HALI ITAKAVYOKUWA
Enzi zetu kulikuwa na msanii anaitwa Meja kunta na Man fongo wakali wa singeli nyinyi watoto wadogo hamjui kitu
Enzi zetu Raisi wa Yanga...
Mwanaume au mwanamke wako anapokufanyia vituko vya kushangaza, kama ku-mute simu akilala au kubadilisha password mara kwa mara, unajua kuna mambo. Hivi unadhani ni sawa kuingia kwenye mahusiano ya kutomwamini mtu? Au kuna uwezekano kwamba huyu mtu wako ni mdumilakuwili? Karibu hapa tujadili...
UKÍWA UNAJITAFUTA NDIO WAKATI SAHIHI WA KUTAFUTA MKE. NAMAANISHA MKE WA UJANA WAKO (MIAKA 21 - 30)
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Kijana wangu ukiwa kama Mtibeli na kama walivyo Watibeli waliotangulia na wataokuja.
Tafuta mke ukiwa únajitafuta. Tafuta mwenza wako wa maisha úkiwa katika...
Wakuu muda sio muda natarajia Kula hiki kipande (Mombo to Segerea) naelekea Tanga, katika memory zangu sitakaa nikisahau hiki kipande kabisa, kila nikipita hapa huwa nacheka, it happened kama miaka 12 iliyopita nikipita kipande hiki na pikipiki usiku mnene, nafata nini? Ndo kichekesho sasa...
Ugumu wa maisha unasababishwa na baadhi ya vijana ambao wameamua kuwa ronyaronya. Vijana wanakuwa machawa. Hawana uwezo wa kufikiri kufanya masuala ya msingi. Vijana aliyosema Mwl Nyerere wako wapi sasa hivi?
Hili ni janga kubwa la taifa. Tutakosa watu wa kufanya maamuzi ndani ya nchi yetu.
Makanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo.
Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo
Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na...
HAPPY BIRTHDAY TO ME. KWA KHERI UJANA. SASA NI MUDA WA BUSARA ZA KIUTU UZIMA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Namshukuru Mungu. Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Nikiwa nimetimiza Rasmi miongo mitatu kamili(miaka 30). Nimejifunza mengi. Nimefanya mengi kwa muda huo.
Namshukuru...
Jogoo limewika Dodoma, wabunge vijana wa CCM wenye umri chini ya miaka 45 wameanzisha umoja wao. Umoja huo umezinduliwa leo ktk Mkutano wa 13 kikao Cha 10. Manaelewa kwanini ni wenye chini ya miaka 45 pekee?
Wale wagombea Urais ndani ya CCM 2015 na kuuringia ujana, Sasa wadogo zenu wamekiwasha...
Asalaam wana wa JamiiForums, husikeni na kichwa cha habari.
Sote twafahamu kila mmoja anafanya kila namna ili kufikia hatua ya mafanikio na sio hivyo tu kila mmoja ana namna yake ya kutafsiri mafanikio. Kwenye mada yangu nitaangazia mafanikio ya maisha zaidi maisha ya kawaida katika kuweza...
Habari wakuu.
Biblia iko kimya kuhusu maisha ya Yesu Kristo tangu akiwa na miaka 12 mpaka alipoanza utume wake akiwa na miaka 30.
Naomba tusome simulizi za maisha yake kwenye kitabu cha BOOK OF URANTIA, wakati mwingine huitwa pia THE URANTIA PAPPERS halafu tujadili humu yaliyomo kwenye Ile...
Salaam kwenu wote,
Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu. Nimezaliwa 1953.
Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho. Bahati nzuri nikapata kazi...
ILIANDIKWA NA LUQMAN MALOTO
AKIWA Kijana, alifanya tukio. Hakujuta. Na akasahau. Akaishi miaka 44 mingine. Ndipo akatokea mtu akamkumbusha kile alichokifanya. Akaumia. Akatamani asahihishe makosa yake. Hakupata fursa hiyo. Miaka mitatu baadaye akafariki dunia akiwa mwenye huzuni kubwa...
Mwanamke huyu hapa (anaitwa Alvera) amesema anajuta sana kuwakataa wanaume wote waliotaka kumuoa akiwa kijana, sasa ana miaka 56, hawezi tena kuolewa na amekuwa mpweke sana.
Amedai kwamba alikua akiogopa atabebeshwa mimba na kuachwa, lakini sasa amepata matatizo ya kiafya, na amekuwa mlemavu...
Habari za muda huu wana jamvi. Natumaini wote tu wazima
naomba mchue dakika chache kupititia uzi wangu huu kuhusu ujana wangu ili mpate kunisaidia kimawazo.
Mimi ni kijana wa miaka 28 sasa, ninaishi Dodoma mjini.
Mwaka 2014 wakati nipo chuo nilibahatika kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.