Kiuhalisia jamaa aliyefanya Poaching hana kosa kwa Mujibu wa kanuni asilia kwa sababu Mnyama kama Mamba yupo kwenye Top of Food Chain, yani ni mnyama hasiyekuwa na Natural Predator au competition kutoka kwa Predators wa jamii nyingine tofauti na wanyama kama Simba, Chui, Duma na Fisi ambao kila...
Katika jitihada za kuvutia watalii, hifadhi ya Mikumi ina mpango wa kurejesha faru ambao walotokomezwa na ujangili miaka ya 1980 na 90.
Faru ambao wako kwenye kundi la wanyama watano wakubwa zaidi wanakosekana Mikumi. Faru wawili wa mwisho walionekana mikumi zaidi ya miaka 30 iliyopita upoteaji...
Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na TAWA limewakamata watu wawili waliotambulika kwa majina ya Richard Paulo (Miaka 23) na Masiaya Lais (Miaka 19) katika kijiji cha Minjingu katika hifadhi ya Jamii ya Burunge wilayani Babati wakiwa nyara za serikali ambazo ni nyama ya Twiga...
Hukumu imetolewa na Jaji Laila Mgonya wa Mahakama Kuu baada ya kuridhika na ushahidi kupitia mashahidi wake 32 ambao umethibitisha washtakiwa walitenda kosa hilo.
Mwanaharakati wa ujangili na raia wa Afrika Kusini, Wayne Derek Lotter aliuawa Agosti 16, 2017 kwa kupigwa risasi akiwa kwenye Taxi...
Moazu Kromah raia kutoka nchini Uganda amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na Mahakama ya jijini New York kwa kosa la kula njama za kusafirisha Pembe za Faru na Pembe za Tembo.
Shehena iliyokamatwa ilikuwa na Kilo 200 za Pembe za Faru na Tani 10 za Pembe za Tembo ambazo thamani...
Kuna vita mbaya sana ipo lakini watu hawajui, hii vita kati ya Jangili na Askari wa kulinda na kutunza Wanjama katika hifadhi za Wanyama.
Hii ni zaidi ya vita hawa wakigumiana hakuna majadiliano ni vyuma tu vinatembea. Kwa sisi tuliokulia Selou Game reserve tunajua hii vita.
Kuna siku tupo...
Imekuwa ni kawaida sana tangu Biden aingie madarakani huwa hajibu maswali ya kwenye presss na hakuna accountability anayohukua.
Pia kufanya speech imekuwa mtihani kwake, hasa pale mazingira yanapokuwa sio rafiki kwa kutumia teleprompter, mfano hapo 9/11 alienda zima moto, pentagon na...
Katavi. Jeshi la polisi mkoa wa Katavi kwakushirikiana na kikosi maalumu cha askari wa Hifadhi za Taifa (Tanapa) kutoka makao makao Arusha wamekamata watu tisa akiwemo raia wa Burundi wakiwa na meno matatu ya tembo, bunduki aina ya AK- UC-0045-1988 ikiwa na magazine moja na risasi 28...
Nakumbuka mwaka 2020 aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla alimtuhumu aliyekuwa Meya wa Iringa kuwa ametenda kosa la ujangili baada ya kupakia picha kwenye mtandao wa Twitter akiwa amemuua nyoka aina ya chatu. Zaidi soma Dtk. Kigwangalla amtuhumu Alex Kimbe kwa ujangili...
PDF la Lazaro _ Part 1.
Kwa kuwa Mh Lazaro umerudi CCM, na umerudi kwa kuomba Msamaha, kwa dhati kabisa ukapokelewa pale kwenye mkutano mkuu maalumu wa kumchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa, na kwa maelezo yako ni kwamba umeomba radhi kwa uongozi wa CCM na ndo maana umepokelewa. Sawa, naomba hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.