Mshindi wa kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu uliomalizika juma lililopita nchini Venezuela, Bwana Nicholas Maduro amepewa mualiko wa kuudhuria mkutano mkuu wa BRICS(jumuiya mpya inayokuwa kwa kasi zaidi duniani), utakofanyika katika mji wa Kazan-Urusi mwezi Oktoba mwaka huu.
Mualiko huu unaweza...
Haya wale Machawa wake Gegedo mlioko hapa JamiiForums njooni mnijibu ili nami nikaombe msaada kwani Nimeibiwa Mbuzi wangu kutokea Zizini Kwangu hapa Tanzania Bara na Mwizi kasepa / kaenda nao kwenda Paje Kizimkazi Zanzibar ili akawauze kwa Waarabu.
Hapo jana akiwa amewasili kutoka Ughaibuni alikokuwa kwenye Mapumziko ya takribani Mwezi Mmoja ameyasema hayo.
Mh Tundu Lissu Ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chama cha Denlmokrasia na Maendeleo Chadema amebainisha kuwa hawataacha kumkabili mpinzani wao wa chama cha mapinduzi.
Tundu Lissu...
Hongera kwa uongozi wangu wa Yanga kwa kazi inayoendelea mpaka sasa kiukweli kwa kiasi fulani inaridhisha kuimarisha maeneo yaliyokua yanalega lega msimu uliopita. Lakini kuna jambo naona halijakaa sawa na hapo viongozi lazima tuwaambie mlipopuyanga.
Huyu Guede ambaye gari lake limewaka na...
Utazingatia chama cha siasa na itikadi yake tu,
Utazingatia ilani, sera, mipango, dira, mbinu, uelekeo na mikakati ya chama husika, katika kutatua changamoto mbalimbali na kuleta maendeleo kwa wananchi?
Utazingatia Elimu, umakini, uadilifu, umahiri, maelezo na ushawishi wa mgombea kwenye...
Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025
Leo Yanga imemtambulisha kiungo mshambuliaji Clatous Chama akitokea Simba ambapo amemaliza mkataba wake
Ujio wake ndani ya Yanga ni jambo la furaha sana kwa mashabiki wa Yanga maana ni mchezaji ambaye aliibwa sana hati kutia...
Ni mara ya 2 wanaoitwa wafanyabiashara wa Kariakoo kugoma ndani ya muda mfupi. Baada ya ule mgomo wao wa kwanza tukaanza kuona migomo Iringa, Mwanza na maeneo mengine.
Migomo yote ni wafanyabiashara kukataa maelekezo halali ya serikali ikiwa pamoja na kutotaka mfumo wa wazi unaobana wizi na...
Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa nchini, pale azam amekumbana na akina Kipre junior, Nado, Nk lkn hakuwa chaguo la kocha ila Lyanga ni...
Tanzania iko kwenye kilele cha zama za mabadiliko. Ulimwengu unabadilika kwa kasi isiyo na kifani, na ili kuhakikisha taifa letu linastawi, ni lazima tukuze maono yenye mwelekeo wa siku za usoni kwa ajili ya elimu, kukuza uvumbuzi wa kisayansi, na kujenga uchumi imara. Dira hii, “Tanzania...
Beki huyo wa kushoto wa Yanga amemalizana na klabu yake hiyo baada ya kumalizika kwa msimu wa 2023\2024
Ambapo uongozi wa Yanga walitaka kumpa mkataba mpya wa mwaka mmoja lakini Lomalisa aliomba kuondoka klabu hapo nakwenda kutafuta changamoto mpya.
Lomalisa ambaye amecheza kwa mafanikio ndani...
Askofu Dr Shoo amenena ukweli kuwa Rushwa za uchaguzi zimeanza kupenyezwa kwenye makanisa na misikitini, bila aibu watumishi wa Mungu na waumini chukueni tahadhali za kutosha ili msije mkajidhalilisha kwa umma wa Tanzania.
Wananchi wanaona yanayotendeka kipindi hiki kwa viongozi wetu...
Hakuna jambo gumu kama kuendesha timu ya mpira na kuifanya ikupe mafanikio ya haraka,
Unaweza kuwa na pesa yakutosha ila ukajikuta unaambulia patupu.
Pesa peke yake hazitoshi bali akili nyingi pia inahitajika bila kuvunja sheria.
Nimeanzisha huu uzi baada ya comment ya mdau mmoja kwenye uzi...
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, AzamTv imetangaza kurusha tena ligi kuu ya Hispania ( La liga) kuanzia msimu ujao 2024/2025
Awali AzamTv walikuwa wanarusha ligi hiyo kabla ya kuachana nayo na kisha kurudia tena! Ikumbukwe AzamTv anarusha ligi ya Ufaransa, Saudi, Ujerumani, Tanzania na Kenya...
Upo uwezekano mkubwa wa Beno kakolanya kurejea yanga msimu ujao.
Inaelezwa yanga ipo kwenye mpango wa kuachana na Metacha mnata japo bado anamkataba wa mwaka mmoja umesalia.
Beno kakolanya amebakisha mkataba wa mwaka mmoja ndani ya Singida fountain Get, Yanga na singida black stars (Ihefu)...
Kuna wachezaji wazawa wazuri sana nimewaona ambao Simba ikiwasajili watawasaidia mno, wa kwanza ni beki wa kulia wa zamani wa KMC na ss Singida, Kevin Kijiri, huyu hana tofauti na yule beki wa kulia wa Mamelodi, Kijiri ana nguvu, spidi halafu mrefu, Israel Mwenda anafanya sana makosa na jana...
1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo.
Tulichoshuhudia MUNGU anajua.
2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu...
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool.
Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali.
Karibu...