ujao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Tusitegemee wingi wa watu kwenye mikutano Uchaguzi Mkuu ujao

    Kutokana na hali ya ukuaji wa matumizi makubwa ya mitandao habari zimekuwa zinafika kwa wakati. Hali hii mpaka tufike Uchaguzi Mkuu sidhani kama nyomi zile tulizoziona chaguzi zilizopita zitaweza kuamua nani anakubalika au nani hakubaliki. Hii nimetoa kama angalizo kwa wale jamaa wakijani...
  2. Mbunge wako na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wanafika eneo lako kushughulikia Kero au ndio wamepotea hadi Uchaguzi ujao

    Tunaelekea mida ya kuanza kuwaona Waliotuomba Kura 2019 na 2020 wakitaka nafasi za Ubunge na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa wakijipitisha tena kama vile walikuwepo. Vipi hapo kwako Kiongozi uliyemchagua anashughulika na Kero zenu au ndo hata hujui alipo?
  3. Nini kifanyike Simba waweze kutwaa Ramadhani cup na Masoko cup msimu ujao?

    Baada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani cup, Masoko cup, Diwani cup n.k iweze kuokota vikombe vingi zaidi?
  4. Barabara ya Tabata Mawenzi ina mashimo ya kutisha, magari yote mwezi ujao lazima yafurike gereji

    Kwa magari yanayopita hapo daily, next month andaeni bajeti ya Shockabsorbers, ball joints na bushes za aina mbali mbali. Kuhusu picha mi nimeona aibu kupiga picha, mwenye ujasiri wa kupiga picha aende akapige mwenyewe.
  5. Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025

    Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025 MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amesema chama hicho hakitambeba mtu wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani na kuwa atabebwa kutokana na matokeo yake ya kukitumia chama hicho...
  6. CAF Confederation Cup yafutwa. Msimu ujao kutakuwa na mashindano mawili tu

    Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league. African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za CAF. Zone 1) North Africa Zone 2) West / Central Africa Zone 3) South / East Africa Kwa sheria...
  7. Wydad kutoshiriki Club Bingwa msimu ujao

    Ni rasmi Wydad Athletic πŸ‡²πŸ‡¦ hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu πŸ‡²πŸ‡¦ Full β€” Wydad 0 - 1 FAR Rabat Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
  8. E

    Kwa wanasiasa mwaka ujao utaongozwa na namba Tisa

    Vyama vya siasa, pamoja na kwamba watu ndio huchagua lakini nyota ya mtu kwa mwaka husika wa uchaguzi inahusika sana kumfanya mtu huyo kuchaguliwa na hao watu bila kujali itikadi zao. uchaguzi wa mwaka huu wa serikali za mitaa na wa mwaka ujao utabalance kulingana na mkuu wa nchi tuliyenae na...
  9. Dalili zinaonesha, Yanga lazima ichukie ubingwa klabu bingwa msimu ujao

    Nimeangalia katika angle mbalimbali, ninejiridhidha, kombe linatuwa Jangwani. Ukibisha, bisha kwa hoja.
  10. Mayele kasaini kandarasi ya miaka mitatu, kuitumikia simba msimu ujao

    Zilizotufikia.... Mayele ni mwekundu. Viongozi wa simba wameua ndege wawili kwa jiwe moja,wameitumia safari ya Simba Misri kumsajili MAYELE. unaambiwa Mayele katumiwa form ya usajili kwenye simu,na ameshasaini mkataba wa miaka mitatu ,hivyo kuanzia msimu ujao atachukua namba ya fred ambaye...
  11. Uchaguzi 2025: Waitara anataka kumkimbia Heche Tarime? Aibana serikali kuhusu kugawa majimbo kwa ajili ya uchaguzi ujao

    Angurumapo simba mcheza nani? Ngurumo za John Heche jimbo la Tarime zimemtikisa Waitara, na anaomba serikali itoe msimamo kuhusu mgawanyo wa majimbo. Waitara anatoa hoja hiyo wakati hata timu hazijaingia uwanjani na refa hajapuliza kipyenga. Mang'ana ghasarikile!! Waitara ni moja kati ya...
  12. SImba SC ajipange upya kwa Msimu ujao, habari imekwisha kwa Mkapa

    Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo. Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk fixture ya marudiano. SIONI kwakweli. Hii ni robo fainali ya 5 Simba anashindwa kwenda nusu. Game...
  13. Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu

    Mzee kikwete akiulizwa kuhusu Mtazamo wake wa Uchaguzi wa Mwaka huu na nafasi ya CCM amesema: "Mimi naamini chama kipo kwenye mazingira mazuri, lakini watu wanasema Politics is local, kuelekea Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa na uchaguzi wa Mkuu mwakani sina hofu na CCM, itaendelea kushinda na...
  14. Kama utani vile, Kagame amekubali tena kugombea uchaguzi ujao

    Itakuwa wanyarwanda wanampenda sana Kagame. Rwanda's ruling party again choses Kagame as presidential candidate Rwanda's ruling party on Saturday picked President Paul Kagame as its candidate for the July election, teeing up a contest widely expected to return the longtime leader to office for a...
  15. Aliyemleta Fredy Michael akamatwe mara moja

    Huu ni utapeli wa wazi,wachezaji wa aina ile hata wa ndani wapo na hawezi kusajiliwa na timu zingine ndogo. Wanaosajili Simba wanafaa wawe nyuma ya nondo sahizi kwa utapeli wa wazi.
  16. Tayari Simba wameshaanza kupata Vikombe vya mkutano mkuu ujao mwakani

    Klabu yeti pendwa imepata mafanikio makubwa ukiacha Yale ya WhatsApp channel MCHEZAJI wetu Inonga amefika nusu fainali afcon. Pia fifa wametutaja Kwenye klabu 12 ambazo zitawania club world cup ambapo Sisi makolo wizard ni WA 7 Africa wakati zinatakiwa timu nne tu. Hayo ni mafanikio yetu
  17. Pre GE2025 Natamani zitto kabwe awe raisi wa Tanzania uchaguzi ujao

    Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa
  18. TANESCO ni national embarrassment, kuanzia mwezi ujao walipwe nusu mshahara mpaka tatizo la mgao litakapoisha

    Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly? Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa kuyaona hayo na kujipanga miaka kadhaa nyuma kabla hayajatokea. TANESCO ni punda asikwenda bila kiboko...
  19. B

    Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

    Huu ni mrejesho wa yenye kujiri: (a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya: 1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa: "Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama" 2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu. 3. Wajumbe...
  20. Ikikuuma Kajinyonge, ila ukweli ni kwamba 85% Moses Phiri anaenda Yanga SC Dirisha Dogo au Msimu Mpya ujao

    GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa. Mpaka nikaja hapa JamiiForums Kumuonya Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Simba SC kuwa Yeye ndiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…